ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,463
- 10,453
mzigo wa sido huu 😁😁 lazima amletee mwenzie zinaa la tetenasiSi angeagiza za kichina jamani, hiyo mbona kama kaitoa kwa fundi welding
mzigo wa sido huu 😁😁 lazima amletee mwenzie zinaa la tetenasiSi angeagiza za kichina jamani, hiyo mbona kama kaitoa kwa fundi welding
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mzigo wa sido huu 😁😁 lazima upate amletee mwenzie zinaa la tetenasi
heeee kumbe sido wanatengeneza vitu ka hizo chaaa
Ukajuaje kazi yake?😊navionaga😂😂😂
Mnateseka sana wanangu, poleni
Mdomo unaweza kukaa kimya lkn moyo unapiga kelele😂Mwezi mtukufu huu wacha nikae kimya..
🤣
Amuulize yeye ndie mwenye majibu sahihi.
Aache kupekua pochi ya mwanamke wake.
Doh.. marinda yanakaguliwajee Smart??
Nimezuia na moyo wangu 😂Mdomo unaweza kukaa kimya lkn moyo unapiga kelele😂
Aah wapi kijana😂Nimezuia na moyo wangu 😂
Au mpaka niapie?Aah wapi kijana😂