Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,343
- 144,851
Huyo ndio mhasisi wa mifumo inayotupa shida leo mfano katiba. Kuiondoa hiyo mifumo sio rahisi maana kuna kundi la wenye madaraka linanufaika na hiyo mifumo.Miaka zaidi ya 41 Nyerere hayupo madarakani lakini bado tunamdondoshea mzigo wa lawama.
Kama humjui adui yako utamlaumu kila mtu.
Ana hasira ambazo lazima zimfikie mtu. Lisingekuwepo jina la Nyerere, angetafuta mtu mwingine wa kuwangushia hasira/matusi yake.Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube, nimekutana na video ya Rais Julius Nyerere akiwa New Delhi, India, akipokea tuzo.
Ilikuwa mwaka 1982.
View: https://youtu.be/aGHLfV4S3CM?si=y1MsBA83j5P1y4p0
Kwenye ukurasa wa mabandiko wa chaneli ya mwanahistoria Adeyinka Makinde, kuna mdau katema nyongo dhidi ya Nyerere. Kamchana sana.
View attachment 3486237
Haya hapa maoni ya huyo mdau:
View attachment 3486248
Julius Nyerere alikuwa janga kubwa kabisa kwa Tanzania na kwa bara la Afrika kwa ujumla. Ni kichekesho cha aina gani cha mtu ambaye, baada ya kushuhudia ukatili wa kinyama uliofanywa na Wazungu dhidi ya Waafrika kwa kutumia teknolojia yao ya juu, angeamua kuacha juhudi za kuharakisha mapinduzi ya viwanda — jambo ambalo lingewapa uwezo wa kujitegemea hata katika ulinzi wa taifa?
Bila shaka, Julius Nyerere alihitaji sababu fulani ya kuhalalisha itikadi yake isiyo na msingi ya Ujamaa wa kimarxisti, akiamini kwa upumbavu kwamba dunia ya kimarxisti iliyoendelea, ambayo ilipitia mateso makubwa kufikia maendeleo ya viwanda, ingewaruhusu yeye na watu wake kuendelea kutegemea bidhaa za viwandani kutoka kwao milele kama vimelea.
Hii ni fikra ya ajabu kabisa — wazo potovu kwamba Waafrika wanaweza kuacha maendeleo ya viwanda na badala yake kuunda aina fulani ya ushirikiano na mataifa mengine — ndilo chanzo kikuu cha hali ya sasa ambapo hakuna nchi hata moja ya Kiafrika yenye uwezo wa kiteknolojia wa asili unaofikia ule wa Korea Kaskazini. Matokeo ya upumbavu huu yamekuwa ya kusikitisha mno, na huenda yakaleta maafa makubwa zaidi siku zijazo.
Kwa sababu hiyo, Wana-Tanzania na Waafrika kwa ujumla wangepaswa kumlaani mtu huyu hata akiwa kaburini.
https://www.youtube.com/post/Ugkx9w...gyPRvKcfoS8AVZMxZ54AaABAg&si=SX342uvhHt1eeShY
Ukiachilia mbali ukali wa lugha yake, binafsi naona jamaa ana hoja yenye mashiko.
Nyie mnaonaje?
Tuendeleee kumlaumu mpaka mifumo iamue kujibadilisha yenyeweHuyo ndio mhasisi wa mifumo inayotupa shida leo mfano katiba. Kuiondoa hiyo mifumo sio rahisi maana kuna kundi la wenye madaraka linanufaika na hiyo mifumo.
Kujua tatizo lilipoanzia ni hatua ya kwanza katika kuelekea kulikabiliTuendeleee kumlaumu mpaka mifumo iamue kujibadilisha yenyewe
Tatizo la nchi ni kwamba utayari wa watu wa kupambania mambo yao ni mdogoKujua tatizo lilipoanzia ni hatua ya kwanza katika kuelekea kulikabili
Watu tuna shida moja. Muda mwingi tunajaribu kutathimini usahihi wa uamuzi wa zamani katika context ya leo. Hiyo sio sawa!Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube, nimekutana na video ya Rais Julius Nyerere akiwa New Delhi, India, akipokea tuzo.
Ilikuwa mwaka 1982.
View: https://youtu.be/aGHLfV4S3CM?si=y1MsBA83j5P1y4p0
Kwenye ukurasa wa mabandiko wa chaneli ya mwanahistoria Adeyinka Makinde, kuna mdau katema nyongo dhidi ya Nyerere. Kamchana sana.
View attachment 3486237
Haya hapa maoni ya huyo mdau:
View attachment 3486248
Julius Nyerere alikuwa janga kubwa kabisa kwa Tanzania na kwa bara la Afrika kwa ujumla. Ni kichekesho cha aina gani cha mtu ambaye, baada ya kushuhudia ukatili wa kinyama uliofanywa na Wazungu dhidi ya Waafrika kwa kutumia teknolojia yao ya juu, angeamua kuacha juhudi za kuharakisha mapinduzi ya viwanda — jambo ambalo lingewapa uwezo wa kujitegemea hata katika ulinzi wa taifa?
Bila shaka, Julius Nyerere alihitaji sababu fulani ya kuhalalisha itikadi yake isiyo na msingi ya Ujamaa wa kimarxisti, akiamini kwa upumbavu kwamba dunia ya kimarxisti iliyoendelea, ambayo ilipitia mateso makubwa kufikia maendeleo ya viwanda, ingewaruhusu yeye na watu wake kuendelea kutegemea bidhaa za viwandani kutoka kwao milele kama vimelea.
Hii ni fikra ya ajabu kabisa — wazo potovu kwamba Waafrika wanaweza kuacha maendeleo ya viwanda na badala yake kuunda aina fulani ya ushirikiano na mataifa mengine — ndilo chanzo kikuu cha hali ya sasa ambapo hakuna nchi hata moja ya Kiafrika yenye uwezo wa kiteknolojia wa asili unaofikia ule wa Korea Kaskazini. Matokeo ya upumbavu huu yamekuwa ya kusikitisha mno, na huenda yakaleta maafa makubwa zaidi siku zijazo.
Kwa sababu hiyo, Wana-Tanzania na Waafrika kwa ujumla wangepaswa kumlaani mtu huyu hata akiwa kaburini.
https://www.youtube.com/post/Ugkx9w...gyPRvKcfoS8AVZMxZ54AaABAg&si=SX342uvhHt1eeShY
Ukiachilia mbali ukali wa lugha yake, binafsi naona jamaa ana hoja yenye mashiko.
Nyie mnaonaje?
Nobody is perfect 100%,The "handwriting" points to a deranged person like yourself; or is there a clone of you in existence?