Mdau amchana vibaya Julius Nyerere

Mdau amchana vibaya Julius Nyerere

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,062
Reaction score
136,431
Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube, nimekutana na video ya Rais Julius Nyerere akiwa New Delhi, India, akipokea tuzo.

Ilikuwa mwaka 1982.

View: https://youtu.be/aGHLfV4S3CM?si=y1MsBA83j5P1y4p0

Kwenye ukurasa wa mabandiko wa chaneli ya mwanahistoria Adeyinka Makinde, kuna mdau katema nyongo dhidi ya Nyerere. Kamchana sana.

IMG_8466.jpeg

Haya hapa maoni ya huyo mdau:

IMG_8468.jpeg

Julius Nyerere alikuwa janga kubwa kabisa kwa Tanzania na kwa bara la Afrika kwa ujumla. Ni kichekesho cha aina gani cha mtu ambaye, baada ya kushuhudia ukatili wa kinyama uliofanywa na Wazungu dhidi ya Waafrika kwa kutumia teknolojia yao ya juu, angeamua kuacha juhudi za kuharakisha mapinduzi ya viwanda — jambo ambalo lingewapa uwezo wa kujitegemea hata katika ulinzi wa taifa?

Bila shaka, Julius Nyerere alihitaji sababu fulani ya kuhalalisha itikadi yake isiyo na msingi ya Ujamaa wa kimarxisti, akiamini kwa upumbavu kwamba dunia ya kimarxisti iliyoendelea, ambayo ilipitia mateso makubwa kufikia maendeleo ya viwanda, ingewaruhusu yeye na watu wake kuendelea kutegemea bidhaa za viwandani kutoka kwao milele kama vimelea.

Hii ni fikra ya ajabu kabisa — wazo potovu kwamba Waafrika wanaweza kuacha maendeleo ya viwanda na badala yake kuunda aina fulani ya ushirikiano na mataifa mengine — ndilo chanzo kikuu cha hali ya sasa ambapo hakuna nchi hata moja ya Kiafrika yenye uwezo wa kiteknolojia wa asili unaofikia ule wa Korea Kaskazini. Matokeo ya upumbavu huu yamekuwa ya kusikitisha mno, na huenda yakaleta maafa makubwa zaidi siku zijazo.
Kwa sababu hiyo, Wana-Tanzania na Waafrika kwa ujumla wangepaswa kumlaani mtu huyu hata akiwa kaburini.

https://www.youtube.com/post/Ugkx9w...gyPRvKcfoS8AVZMxZ54AaABAg&si=SX342uvhHt1eeShY

Ukiachilia mbali ukali wa lugha yake, binafsi naona jamaa ana hoja yenye mashiko.

Nyie mnaonaje?
 
Ana hoja hata kama si kuwapo kipindi cha nyenyere

Hiyo kuona picha na kanjibahi inatosha kujua kwanini yanatufika, uchawa hautaacha mtu na kizazi chake salamaa, Daima Dawamu
 
Ana hoja tena nzito na ina mantiki leo ilibidi nirudie kukisoma kile kitabu cha mtanzania aliyewekwa kizuizini kwa kumkosoa Nyerere jinsi alivyotekwa nyara , kusafirishwa kwa siri hadi baadae kufanikiwa kutorokea uhamishoni ni picha tosha hadi leo yanayotokea nikiangalia mfano tu wa Polepole ni marudio ya matukio yaliyozungumziwa katika kitabu hicho.

Na kitabu hicho kinaitwa "The dark side of Nyerere's legacy" kimeandikwa na Ludovick Mwijage.

Kama hujawahi kukisoma jaribu kukisoma utaona mbinu zile zile za miaka ya 1970 ,1980 hadi leo bado zinatumika Tanzania kuzima wakosoaji na kumkosoa rais inaonekana ni jinai.

Nyerere kaondoka madarakani sasa ni zaidi ya miaka 40 ila ukweli mchungu ni kuwa licha ya mazuri yake pia hata mabaya mengi yeye ndio mhandisi wa mifumo hii mibovu na ni kama mitego aliweka imekuwa ngumu sana kuitoa maana ili itolewe basi kuna watu wengi wanaonufaika lazima wataumia sana na ndio unaona yanayoendelea ili kuzima mtu yoyote anayetaka kuondoa mifumo hiyo.
 
The "handwriting" points to a deranged person like yourself; or is there a clone of you in existence?
 
To understand Nyerere's mistakes I advise reading Malcom Lumumba's recent posts. He(Lumumba) explained in-depth on Nyerere mistakes. Despites his kujisahihisha still his mistakes haunt us to this day.
This person on this post however, seems to have personal grudges with Nyerere. Since Nyerere mistakes did not base on industry sector entirely. He tried his very best to industrialize compared to his fellow leaders after independence.
 
Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube, nimekutana na video ya Rais Julius Nyerere akiwa New Delhi, India, akipokea tuzo.

Ilikuwa mwaka 1982.

View: https://youtu.be/aGHLfV4S3CM?si=y1MsBA83j5P1y4p0

Kwenye ukurasa wa mabandiko wa chaneli ya mwanahistoria Adeyinka Makinde, kuna mdau katema nyongo dhidi ya Nyerere. Kamchana sana.

View attachment 3486237

Haya hapa maoni ya huyo mdau:

View attachment 3486248
Julius Nyerere alikuwa janga kubwa kabisa kwa Tanzania na kwa bara la Afrika kwa ujumla. Ni kichekesho cha aina gani cha mtu ambaye, baada ya kushuhudia ukatili wa kinyama uliofanywa na Wazungu dhidi ya Waafrika kwa kutumia teknolojia yao ya juu, angeamua kuacha juhudi za kuharakisha mapinduzi ya viwanda — jambo ambalo lingewapa uwezo wa kujitegemea hata katika ulinzi wa taifa?

Bila shaka, Julius Nyerere alihitaji sababu fulani ya kuhalalisha itikadi yake isiyo na msingi ya Ujamaa wa kimarxisti, akiamini kwa upumbavu kwamba dunia ya kimarxisti iliyoendelea, ambayo ilipitia mateso makubwa kufikia maendeleo ya viwanda, ingewaruhusu yeye na watu wake kuendelea kutegemea bidhaa za viwandani kutoka kwao milele kama vimelea.

Hii ni fikra ya ajabu kabisa — wazo potovu kwamba Waafrika wanaweza kuacha maendeleo ya viwanda na badala yake kuunda aina fulani ya ushirikiano na mataifa mengine — ndilo chanzo kikuu cha hali ya sasa ambapo hakuna nchi hata moja ya Kiafrika yenye uwezo wa kiteknolojia wa asili unaofikia ule wa Korea Kaskazini. Matokeo ya upumbavu huu yamekuwa ya kusikitisha mno, na huenda yakaleta maafa makubwa zaidi siku zijazo.
Kwa sababu hiyo, Wana-Tanzania na Waafrika kwa ujumla wangepaswa kumlaani mtu huyu hata akiwa kaburini.

https://www.youtube.com/post/Ugkx9w...gyPRvKcfoS8AVZMxZ54AaABAg&si=SX342uvhHt1eeShY

Ukiachilia mbali ukali wa lugha yake, binafsi naona jamaa ana hoja yenye mashiko.

Nyie mnaonaje?

Ana hasira ambazo lazima zimfikie mtu. Lisingekuwepo jina la Nyerere, angetafuta mtu mwingine wa kuwangushia hasira/matusi yake.

Ajiulize tu mbona kuna nchi ambazo hazikuwa na mawazo ya Kinyerere na bado ziko worse kuliko Tanzania? Aende Malawi tu hapa jirani yetu.
 
Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube, nimekutana na video ya Rais Julius Nyerere akiwa New Delhi, India, akipokea tuzo.

Ilikuwa mwaka 1982.

View: https://youtu.be/aGHLfV4S3CM?si=y1MsBA83j5P1y4p0

Kwenye ukurasa wa mabandiko wa chaneli ya mwanahistoria Adeyinka Makinde, kuna mdau katema nyongo dhidi ya Nyerere. Kamchana sana.

View attachment 3486237

Haya hapa maoni ya huyo mdau:

View attachment 3486248
Julius Nyerere alikuwa janga kubwa kabisa kwa Tanzania na kwa bara la Afrika kwa ujumla. Ni kichekesho cha aina gani cha mtu ambaye, baada ya kushuhudia ukatili wa kinyama uliofanywa na Wazungu dhidi ya Waafrika kwa kutumia teknolojia yao ya juu, angeamua kuacha juhudi za kuharakisha mapinduzi ya viwanda — jambo ambalo lingewapa uwezo wa kujitegemea hata katika ulinzi wa taifa?

Bila shaka, Julius Nyerere alihitaji sababu fulani ya kuhalalisha itikadi yake isiyo na msingi ya Ujamaa wa kimarxisti, akiamini kwa upumbavu kwamba dunia ya kimarxisti iliyoendelea, ambayo ilipitia mateso makubwa kufikia maendeleo ya viwanda, ingewaruhusu yeye na watu wake kuendelea kutegemea bidhaa za viwandani kutoka kwao milele kama vimelea.

Hii ni fikra ya ajabu kabisa — wazo potovu kwamba Waafrika wanaweza kuacha maendeleo ya viwanda na badala yake kuunda aina fulani ya ushirikiano na mataifa mengine — ndilo chanzo kikuu cha hali ya sasa ambapo hakuna nchi hata moja ya Kiafrika yenye uwezo wa kiteknolojia wa asili unaofikia ule wa Korea Kaskazini. Matokeo ya upumbavu huu yamekuwa ya kusikitisha mno, na huenda yakaleta maafa makubwa zaidi siku zijazo.
Kwa sababu hiyo, Wana-Tanzania na Waafrika kwa ujumla wangepaswa kumlaani mtu huyu hata akiwa kaburini.

https://www.youtube.com/post/Ugkx9w...gyPRvKcfoS8AVZMxZ54AaABAg&si=SX342uvhHt1eeShY

Ukiachilia mbali ukali wa lugha yake, binafsi naona jamaa ana hoja yenye mashiko.

Nyie mnaonaje?

Watu tuna shida moja. Muda mwingi tunajaribu kutathimini usahihi wa uamuzi wa zamani katika context ya leo. Hiyo sio sawa!

Inawezekana uamuzi huo wa zamani wa Nyerere ulikuwa sahihi na bora kwa mazingira ya wakati ule. Dunia inabadilika (sio static). I believe kama Nyerere angerudi leo na kupewa tena nafasi aliyokuwa nayo hapo zamani asingefanya kama alivyofanya back then kwa sababu dunia ya sasa ni tofauti sana na ya wakati ule.
 
The "handwriting" points to a deranged person like yourself; or is there a clone of you in existence?
Nobody is perfect 100%,
alipoona akili imechoka ndo mana alipoona akili imechoka kaamua kung'atuka wengine waendelee.
 
Back
Top Bottom