Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdai na Mdeni

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Sep 20, 2011.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,603
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Jamaa alikuwa anamdai mshkaji wake, cku ya kulipa ilivyofika jamaa akawa anamkimbia mdeni! Ikaenda hivyo kama mwezi jamaa anazingua kuonekana haonekani! Siku moja kama zali jamaa kakaa sehem akamuona mdeni anapita! Akaanza mfatilizia kwa nyuma afu akampigia simu!
  Mdeni: (kwa sauti kubwa) Hallooo...!
  Mdai: Halloo habari bwana!
  Mdeni: safi tu! Sasa..(kigugumizi!)
  Mdai: Vp watoto nyumbani?
  Mdeni: (kwa sauti ya kutojiamini)hawajambo!
  Mdai: Sasa vp kuhusu ule mzigo?
  Mdeni: Sikusikii vizuri unasemaa?
  Mdai: Vp kuhusu ule mzigo?
  Mdeni: Ckuckii vizuri nipo kwny boat naelekea znz hapa wimbi zito sana! Ntakupigia!
  Mdai: Sawa nami naelekea hukohuko nipo boat ya nyuma hapa ukishuka nisubiri!
  Mdeni kugeuka Nyuma anamuona Mdai anampungia mkono! Aibu Niaje!
   
 2. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahaha.imenikumbusha jamaa alikuwa akikwepa deni mda mrefu na hela anazo.wakiwa kwenye mkahawa na anaemdai ghafla wakavamiwa na genge la wahuni na kuambiwa walale chini.wakiwa chini ya meza jamaa anaedaiwa akavuta rundo la pesa na kumpa anaemdai akimwambia oyaa chukua lile deni lako..dah! Ilibidi anaemdai amwambie utanlipa kesho manake alijua wahuni watapita nazo.
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,545
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  duh hizo zote bomba bora nimegain kiaina wakuu..
  khaaaaaa nn
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,603
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Hiyo hata mimi nisingepokea mkuu maana itakwaje analipe wakati tupo kwenye shari
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,603
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  thanks mkuu
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,539
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ningemtandika ngumi Moja akizinduka anakuwa amesahau kuwa hela alinipa mimi au alimpa kaka Jambazi.....
   
 7. Terrire

  Terrire Member

  #7
  Sep 20, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So funny bro!!!!!!!!!!
  Haaaa haa haa...........................
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,515
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nouma itabidi nifanye juu chini nimlipe tu
   
Loading...