MkikiMkiki2015
Member
- Jul 2, 2015
- 20
- 23
Leo Jumapili (05/07/2015) kutakuwa na mdahalo utakaofanyika Dodoma (UDOM)
Msingi mkuu wa hii midahalo ni;
TUWAHOJI TUWAPIME TUWACHUJE
Karibuni ili tushiriki kujenga nchi letu ili historia isije ikatuhukumu.
Fuatilia Jukwaa la Siasa https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=879011
- Utaanza saa tisa mchana
- Utarushwa live na STAR TV pia utapatikana online (Live streaming www.livestream.com/mkikimkiki )
- Pia mkikimkiki on twitter mkikimkiki itatoa live tweets (fuatana nasi twitter)
- Ukurasa wa Facebook www.facebook.com/mkikimkiki
- Cha msingi Tuma mswali yako ya jumla au kwa mgombea mmoja mmoja @Mwingulu Nchemba, Januari Makamba na hamisi Kigwangalla