Mdahalo wa wagombea urais ufanyike kwa English

Wanabodi,

Nimesikia tetesi kuwa mdahalo utakuwa kwa English, sababu ni kwamba utarushwa live na DSTv na BBC ili dunia iwasikie.
Kwa wagombea wasiojua lugha ya dunia, yaani global language nawapa heko. Wajiandae
Kuna polisi alishika gari alilokuwa anaendesha Mganda, walishindwa kuelewana akaambiwa pita tu na makosa yake
 
Wanabodi,

Nimesikia tetesi kuwa mdahalo utakuwa kwa English, sababu ni kwamba utarushwa live na DSTv na BBC ili dunia iwasikie.
Kwa wagombea wasiojua lugha ya dunia, yaani global language nawapa heko. Wajiandae
Ahahaaa... sijui..!! Labda.
 
Wajinga wengi na hawa ndio wasomi tulio nao wanadhani kiingereza ndio elimu.
Waende uingereza wakafanya midahalo hata kwenye madangulo .
Maana wauzaji na wacheza porn wakijua
 
Kwani tunatafuta viongozi wa kuongoza kampuni ya DSTV au shirika la utangazaji la uingereza BBC?

Halafu na wewe kama kwa kuandika kwa lugha ya kiswahili tu ni shida, je kiingereza siyo taabu kabisa?

Hebu cheki tu tittle ya hoja yako "........mdahalo ufanyike kwa English!" badala ya ".........mdahalo ufanyike kwa lugha ya Kiingereza"

"English" hata haina maana ya "Lugha ya Kiingereza" kwa maana ya "English Language" bali tittle ya hoja yako kwa mtu makini haina maana ya uliyokusudia kimantiki.


Aaaa, mkuu hajakosea; aliposema "kwa English" alikuwa na maana "in English" ambapo ni sawa na "in English (language)"., hajakosea alipoandika "kwa English"

Ni sawa useme "kwa kiswahili" au in kiswahili ambapo ni sawa na kusema; katika lugha ya kiswahili. English maana yake ni Lugha ya kiingereza.
 
Kwani rais wa china alipokuja Tanzania kusaini ile mikataba 16 ya kutunyonya alitumia lugha ipi hapa nchini ?. Jitambue kujua kiingereza siyo sifa ya usomi .
Elimu ya Tanzania inamtaka mhitimu kujua Kiingereza.

Kujifananisha na wachina ni sawa na kujikosea heshima maana kwao english sio somo la lazima
 
Back
Top Bottom