Nimesikia tetesi kuwa mdahalo utakuwa kwa English, sababu ni kwamba utarushwa live na DSTv na BBC ili dunia iwasikie.
Kwa wagombea wasiojua lugha ya dunia, yaani global language nawapa heko. Wajiandae
Kwani tunatafuta viongozi wa kuongoza kampuni ya DSTV au shirika la utangazaji la uingereza BBC?
Halafu na wewe kama kwa kuandika kwa lugha ya kiswahili tu ni shida, je kiingereza siyo taabu kabisa?
Hebu cheki tu tittle ya hoja yako "........mdahalo ufanyike kwa English!" badala ya ".........mdahalo ufanyike kwa lugha ya Kiingereza"
"English" hata haina maana ya "Lugha ya Kiingereza" kwa maana ya "English Language" bali tittle ya hoja yako kwa mtu makini haina maana ya uliyokusudia kimantiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.