cjakupa mkuu! mbona umekurupuka?"Mbunge na mshahara wa Milioni 7 mbali na posho ya jimbo na mafuta ya gari lake, mshahara wa dereva wake 450, ila wanawapunja wanawapa 150,000/-" Renatus Mkinga amechangia hivyo na anajiita mwanaharakati. Hivi kweli ana data huyu?
Naona mzee Chipaka Kachafua hali ya hewa Kabisa, anazani watu ni walewale
zeee limechafua hali ya hewa
Nipo huku bush ila kwa muda huu nipo hapa chini ya mwembe napata updates za mjini na wife anakusanya kuni turudi mjini! Thanks
Maalim kaongea vitu vya maana sana!
Aman ndio cha muhimu zaidi..