Mdahalo wa katiba ITV

khaaaaa napata picha hii nchi inakokwenda sio haki ya mungu jk mwanakwetu kazi unayo
 
Mama Consensa: anaponda umiliki wa ardhi kua kwa serikali za mitta,anataka kuuliza namna ya kumiliki ardhi
 
Hivi huyu dada aliyesimama na sunglass zake ameongea nini sasa??? Kama alikua hajui cha kuongea si angekaa chini tu....pumbaaa!

Mkuu kuna baadhi ya watu wanachangia kuonyesha kuwa wapo. Lakini ili kupata kitu bora lazima uwe na vitu vingi hivyo ktk huu mdahalo kuna watu wana-point wengi ndo hivyo lakini la muhimu wote wanauchungu na katiba mpya
 
Mzee David anasema liwalo na liwe hakuna kurudi nyuma anataka kumkumbusha rais ajue tz si yao ni yetu
 
wamekosa kazi za kufanya.... Hii nchi ya wavivu tuu mpaka kiama. Mvua zimeanza kunyesha kwa nini msiende kulima tukaondokana na njaa. hivi kila mtu mwenye akili timamu angelima hekari moja ya mahindi au mpunga au zao lolote tungekuwa na njaaa... Kila siku mijadala mijadala...tumewachoka.. Kwanza mnatumia resources zetu bure..nyie vipi hamsomi alma za nyakti??
 
mkuu wa kaya aandae nchin ya kukimbilia mswada ukipita kesho.... naona na mzee pia kawachoka magamba...
 
Daaaa naona wananchi wote sasa hivi wamebadilika, jamani sijui kama 2015 itafika kama hali yenyewe itakuwa hivi,maana sijamuona hata mtu mmoja anaisifia serikali ya sasa......So anytime naona hii nchi kitawaka tu
 
wamekosa kazi za kufanya.... Hii nchi ya wavivu tuu mpaka kiama. Mvua zimeanza kunyesha kwa nini msiende kulima tukaondokana na njaa. hivi kila mtu mwenye akili timamu angelima hekari moja ya mahindi au mpunga au zao lolote tungekuwa na njaaa... Kila siku mijadala mijadala...tumewachoka.. Kwanza mnatumia resources zetu bure..nyie vipi hamsomi alma za nyakti??
Magamba at work... jiandae mkuu ukombozi unakuja
 
Mzee anamkumbusha Rais kwamba Tanzania si yake, ni mali ya wananchi. Anamaanisha kwamba Rais ameigeuza Tanzania kuwa mali yake?
 
na haya mambo ya katiba watasema CDM kama Kandoro anavyotumia masaburi yake wanayo mcameroon kusema vurugu za wamachinga Mbeya ni za kisiasa
 
Pamoja na mambo mazuri yanayosemwa kwenye mdahalo lakini nimeamini vijana wengi wa kitanzania wanakosa "Exposure" hawajui kupangilia mada, wanatoa mifano ya kijinga isiyokuwa na mantiki kabisa, kwa mfano jamaa amesimama anadiriki kusema eti alivyofundishwa yeye hata baba yake akikomba mboga amefundishwa amwambie palepale! hizo ni mira za wapi kwa watoto wa kiafrika? mwingine naye anasema bora vita ya risasi, hivi risasi anazijua au anazisikia? hivi ni nchi hii hii ambayo gurudumu la gari likipasuka watu wanakimbia wakidhani risasi! mambo ya ajbu kabisa.
 
Mama anasema gvt ni house girl wa chama tawala kwa kutekeleza yote nayoambiwa na chama
 
wamekosa kazi za kufanya.... Hii nchi ya wavivu tuu mpaka kiama. Mvua zimeanza kunyesha kwa nini msiende kulima tukaondokana na njaa. hivi kila mtu mwenye akili timamu angelima hekari moja ya mahindi au mpunga au zao lolote tungekuwa na njaaa... Kila siku mijadala mijadala...tumewachoka.. Kwanza mnatumia resources zetu bure..nyie vipi hamsomi alma za nyakti??

watu wengine taabu tupu' ukiwa na hela ya kula basi unakuwa unawaza uharo tu!
 
Pamoja na mambo mazuri yanayosemwa kwenye mdahalo lakini nimeamini vijana wengi wa kitanzania wanakosa "Exposure" hawajui kupangilia mada, wanatoa mifano ya kijinga isiyokuwa na mantiki kabisa, kwa mfano jamaa amesimama anadiriki kusema eti alivyofundishwa yeye hata baba yake akikomba mboga amefundishwa amwambie palepale! hizo ni mira za wapi kwa watoto wa kiafrika? mwingine naye anasema bora vita ya risasi, hivi risasi anazijua au anazisikia? hivi ni nchi hii hii ambayo gurudumu la gari likipasuka watu wanakimbia wakidhani risasi! mambo ya ajbu kabisa.
hiyo ni matokeo ya mfumo mbaya wa elimu wa magamba mkuu,tunataka mabadiliko ili kubolesha hayo madahaifu..
 
mama selina kombani ameambiwa yk mochwari hafai kuwekwa icu anaambiwa anaongea upumbavu usiofaa kuongelewa na waziri.
 
"Mbunge na mshahara wa Milioni 7 mbali na posho ya jimbo na mafuta ya gari lake, mshahara wa dereva wake 450, ila wanawapunja wanawapa 150,000/-" Renatus Mkinga amechangia hivyo na anajiita mwanaharakati. Hivi kweli ana data huyu?
 
Back
Top Bottom