Mdahalo wa katiba ITV

police,wanajeshi waweke silaha chini wadai katiba mpya barabarani.....silaha na majeshi ni ya kupambana na mafisadiii
 
katba inampa Rais awe Mungu namba mbili wa tanzania....mkulima anasema
 
Nimemsikiliza Renatus Mkinga...... Mhhhhhh! kaaaaaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli, Wanajamvi hii midahalo ina maana gani na nini malengo yake???
 
wakipitisha huo muswada hiyo kesho tuna kwa kuanza tutaanzia ARUSHA na MWANZA,hakyanani uLIBYA unanukia na leo nimeota nina SMG
 
Ndugu zangu watz, iwapo ccm watatumia wingi wao bungeni kulazima huu mswada wa katiba upite, ndiyo utakuwa mwanzo wa uvunjifu wa amani katika nchi hii. Tatizo ni kwamba huwa ni wagumu kuelewa na kusoma alama za nyakati, ngoja tuwasubirie.
 
wakipitisha huo muswada hiyo kesho tuna kwa kuanza tutaanzia ARUSHA na MWANZA,hakyanani uLIBYA unanukia na leo nimeota nina SMG

mi ntatumia hata manati nishachoka kufanwa punga na hii serikali ya jk
 
naona munkali ya vijana inapanda,.... wanagombania mic wamwage sumu,kweli magamba wanakazi
 
Hivi huyu dada aliyesimama na sunglass zake ameongea nini sasa??? Kama alikua hajui cha kuongea si angekaa chini tu....pumbaaa!
 
Upendo Omary: anasema mswada umewahau wanawake kwa hyo anahimiza wanaweka waingie barabarani
 
Back
Top Bottom