Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,204
- 99,943
utabaki na mawazo hayo hayo..sisi tunasonga tu
Huoni wanachadema wanaojilipa per diem za 600,000 kwenye kila maandamano? Huoni mtu mmoja kwenye chama kinachohitaji kujijenga anajilipa mshahara wa milioni saba bila kodi?
Kuna wizi zaidi ya huu?
Afadhali hao wanachukua (kama ni kweli) kwa one event kuliko nyie mnaokula kila siku!! au hapo inahitaji shule? Mwizi anaeiba mara moja na anakuibia hadi kutaka kukuua huku unaona yupi mwenye afadhali? Rejao bhana