Eti kisa buku7 za lumumba unajitoa ufahamu
Eti kisa buku7 za lumumba unajitoa ufahamu
slaa hana positive image kwa jamii kutokana na kupora mke wa mtu
slaa hana positive image kwa jamii kutokana na kupora mke wa mtu
Slaa hana maadili ya kulithisha vijana wa Taifa hili kwa skendo yake ya Ufuska,ila anaweza kulithisha siasa na sio maadili kwa jamii[/QU
Slaa hana maadili ya kulithisha vijana wa Taifa hili kwa skendo yake ya Ufuska,ila anaweza kulithisha siasa na sio maadili kwa jamii[ wewe unamtaka kiongozi au unataka ndoa?
Tafadhali ndugu yangu Mtoi ninawezaje kupata nakala yake? Ninauhitaji sana nami nijifunze kitu.
Wajinga nao
Mkuu.
Nita uko-copy mdahalo ule kwenye simu ili niweze kuwatumia watu wengi kwa njia ya WHATAPPS! Wenye simu zenye uwezo wa kupokea na kutuma kwa whatapps itakuwa rahisi kwao kuupata mahali popote walipo.
Nikifanikisha hilo nitawajuza ili mnitumie namba zenu. Namba zangu +255 784 (713) 246764
Huyo mwenye positive image raisi wako muulize ana watoto wangapi na wangapi ni wa ndoa na mkewe na wangapi ni wa nje ya ndoa. Kwani Ikulu ni kwenda kuoa