Mdahalo wa Dr. Slaa, ITV, Utumike Mashuleni- Prof Mbele

Mdahalo wa Dr. Slaa, ITV, Utumike Mashuleni- Prof Mbele

Tunataka ya kwako mwenye uzoefu since 1976 inaweza kusaidia, mwache padre slaa arudi kundini kondoo wanamngojea huko sana na akatubu kwa nini tamaa zilimkimbiza. :heh:

Udini na ccm ni ........................
 
Tunataka ya kwako mwenye uzoefu since 1976 inaweza kusaidia, mwache padre slaa arudi kundini kondoo wanamngojea huko sana na akatubu kwa nini tamaa zilimkimbiza. :heh:

Mkuu punguza vioja hapa tuko kwenye hoja.
 
Na utumike tuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu hilo wazo la prof lifanyiwe kazi haraka ,acheni unazi wa kijinga wa vyama . Sisi tuanataka taaluma bwana.
 
slaa hana positive image kwa jamii kutokana na kupora mke wa mtu

Huyo mwenye positive image raisi wako muulize ana watoto wangapi na wangapi ni wa ndoa na mkewe na wangapi ni wa nje ya ndoa. Kwani Ikulu ni kwenda kuoa
 
Naunga Mkono hoja haswa kile kipengle kinachosema kumchagua KIkwete na CCM ni janga la taifa nasi tumeshuhudia
 
Nimemsoma Prof Mbele kuhusu hii hoya yake, nadhani he has a point,
Mimi ni mwalimu, mwenye uzoefu wa kufundisha tangu mwaka 1976, nilipoanza kufundisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na hatimaye kutoa mihadhara katika vyuo vikuu sehemu mbali mbali duniani.

Kutokana na wadhifa wangu, napenda kusema kuwa ingekuwa bora iwapo mdahalo wa Dr. Slaa ITV ungesambazwa mashuleni, kwani una mambo muhimu ya kuwafundisha vijana wetu. Jambo la kwanza ni kuwa mdahalo ule unatoa changamoto kuhusu masuala ya nchi yetu, ni kichocheo cha fikra.
Hapa Kwetu: Mdahalo wa Dr. Slaa, ITV, Utumike Mashuleni
Nyie ndio wale walimu makanjanja tu, mnasababisha watoto wanafika form 4 hawajui kusoma wala kuandika.
 
Tunataka ya kwako mwenye uzoefu since 1976 inaweza kusaidia, mwache padre slaa arudi kundini kondoo wanamngojea huko sana na akatubu kwa nini tamaa zilimkimbiza. :heh:
...ukisoma join date tu unajua Nape kaajili wapya.
 
magamba hawatakubali hata kidogo mkuu
 
Slaa hana maadili ya kulithisha vijana wa Taifa hili kwa skendo yake ya Ufuska,ila anaweza kulithisha siasa na sio maadili kwa jamii
 
Tunataka ya kwako mwenye uzoefu since 1976 inaweza kusaidia, mwache padre slaa arudi kundini kondoo wanamngojea huko sana na akatubu kwa nini tamaa zilimkimbiza. :heh:
Wivu wa kike. Hapa inaongelewa hoja na si mtu!
 
hawa ndio maprof wa kweli. wana profes siyo wataka madaraka kama wengine. Prof huyu anaona mabali sana
 
Back
Top Bottom