Uchaguzi 2020 MDAHALO: Mtoto amelilia wembe, CCM mpeni

Nyie Chadema tulieni, mgombea wenu Lissumwenyewe ndo kaomba mdahalo, sasa ngoja apewe wembe umkate, ccm msimzubaishe huyu, magu apande ulingoni haraka sana amnyooshe tena kwa lugha zote mbili ya kimatumbi na kimalkia; tunataka cdm mtambue nguvu ya phd na msifikiri phd inasomewa kwa kiswahili..ni ung'eng'e mwanzo mwisho...sasa nyie cdm huyu Tundu lisu anayo phd au ni huto tu digrii twake tumoja au tuwili ndo awe na maono kuliko phd au aweze kujieleza kuliko phd?!!!!

Kwanza cdm mnajua ni nani amekuwa akipanga na kutekeleza mipingo yote ya serikali kwa muda wa miaka mitano iliyopita? huyo Lissu alikuwa serikalini? anajua serikali inavyooendeshwa? Atakuwa na hoja gani kama hajui hata mipango inayotekelezwa na itakayotekelezwa?

CCM hapa ndo pa kummaliza huyu Lissu, Ni nafas kwa mhe Magu kuwaonyesha watanzania ukali wa akili yale na nguvu ya sera zake na mipango yake ili Watanzania wajue kinagaubaga, Lissu atabakia kuropoka tu hawez kujieleza kumshinda phd na hawezi kuwa ma maono kumzidi phd tena ambaye ameshaongoza serikali kwa miaka mitano sasa..

....na kwa kuwa cdm wameomba wenyewe hawatakuwa na kulialia wakati mzee magu akimpiga Lissu za uso na za pua. Lissu akipigwa kimalkia cha phd lazima asingizie Magu anapiga za pua au alie kwa nguvu Magu anang'ataaaaaa.😭😭
 
Hakuna kumpa nafasi ya cheap publicity huyu zwazwa. Wapambe wake mnafanya juhudi kubwa kumtafutia nafasi ya bure ya kusikilizwa na watu wengi, CCM wasikubali kabisa hili.

Kwanza, hana sera: tunachosikia kwenye mikutano yake ni matusi tu, kubeza, kulalamika, na kulialia. Pili, hana hekima ya kujadiliana naye kitu cha maana: anaweza kuamua kumtukana rais wetu akiwa live kwenye tv. Hana cha kupoteza.

Tatu, anaweza kuamua kutangaza na kutetea ushoga wake wakati tunaangalia tv na watoto wetu!

Aachwe tu apambane na hali yake.
 
Wana-CCM dawa ya Lissu ni moja tu, Mtoto akililia wembe mpe; chambeche Wahenga...
Rais Magufuli tulishampima miaka mitano iliyopita kwa utendaji wake hakuna haja ya kumpima kwenye mbwembwe za midahalo. Lissu afanye midahalo na akina Hashim Rungwe, Dovutwa, Membe na wengine wenye kaliba kama hiyo ya kwake
 
Habari wadau..!
kwenye mdahalo wa leo wa maadhimisho ya miaka 44 ya CCM kama sijawaelewa vile Mzee Butiku na Mama Anna Makinda .

Hususa kwenye swala la mfumo wa elimu wameonekana wazi wakibeza mfumo wa elimu wa ss na kuwabeza wasomi wetu ,kana kwamba hawakuwapo kipindi chote .

Mzee Butiku anasisitiza kwamba suala la elimu linahitaji mjadala wa kitaifa je ni mjadala gani huo????

Mm nikiwa kama msomi sitaki kuamini anachokisema mzee Butiku wasomi ni wengi ila naona wahandisi na wanasayansi ndio tunabezwa sana hapa kwenye huu mjadala .
 
Back
Top Bottom