Wengi wanaojaza Hilo nyomi Ni wapenda burudani Kama MimiHATUNA HAJA YA KUMPA MDAHALO NYOMI ZA MAJUKWAANI NI ZAIDI YA MDAHALO
WATANZANIA BADO WANA IMANI KUBWA SANA NA MATUMAINI NDANI YA CCM
View attachment 1576361
Wewe unataka kazi yako iishie leo?? Magu akitokea au hata kusema tu anaenda kwenye mdahalo basi kura yangu ntampa!!, Maana najua ubatizo atakaoupata sio wakawaida.
Hahahaha nimekumbuka gwajima na yule mzee.Mdahalo sio jambo dogo haswa unapo banwa na swali una anza kuunya unya.
Clap your hands we want to see their caliberWana-CCM dawa ya Lissu ni moja tu, Mtoto akililia wembe mpe; chambeche Wahenga...
Rais Magufuli tulishampima miaka mitano iliyopita kwa utendaji wake hakuna haja ya kumpima kwenye mbwembwe za midahalo. Lissu afanye midahalo na akina Hashim Rungwe, Dovutwa, Membe na wengine wenye kaliba kama hiyo ya kwakeWana-CCM dawa ya Lissu ni moja tu, Mtoto akililia wembe mpe; chambeche Wahenga...
🤣🤣🤣🤣Hahahaaaa