Kesho kuanzia saa 1:00 jioni star tv itarusha mdahalo kati ya Eng Habib Mnyaa (CUF) na Mh Tundu Lissu (CHADEMA). Utakao ongozwa na Vox Media chini ya Rose Mwakitwange mahali: MovenPick
Kesho kuanzia saa 1:00 jioni star tv itarusha mdahalo kati ya Eng Habib Mnyaa (CUF) na Mh Tundu Lissu (CHADEMA). Utakao ongozwa na Vox Media chini ya Rose Mwakitwange mahali: MovenPick
Nini agenda ya huo mdahalo? Maana kuwakutanisha Mnyaa na Lisu sijapata picha wanataka kupata nini hawa waandaaji, hawa ni watu wawili wenye kaliba tofauti na maono tofauti.
Huyo mnyaa mnataka kumpa aibu maana si saizi ya Lissu, kwa ushauli wangu naomba CUF wafikilie mara 2 kwanini CCM hawajamleta mbunge wao dhidi ya LISSU, haya bana atajua yeye na aibu atakazozipata kutoka kwa LISSU.