Mdahalo DR. JK na DR.Slaa

Kama unampenda Nyerere na kushabikia falsafa zake na wakati huo huo unataka mageuzi kidemokrasia, kiteknolojia na kiuchumi. Basi unahitaji kupimwa akili na mtu kama mimi siwezi kukuunga mkono maana najua hakuna unachojua unacopy copy tu na ku-paste.

Hizo red ingawa unaweza kuwa sahihi kwa namna fulani lakini what is your reference? naona kama unaotea otea hivi! hata hivyo Hivi mtu anaeunga mkono falsafa za Nyerere hatakiwi kuwa mtaka mageuzi ya kidemokrasia, teknolojia na uchumi? I doubt that you ever think!!

hizo blue anayehitaji kupimwa akili ni mimi kweli?

Hapo kwenye purpple, sasa mkuu ulitaka nimcopy nani Tanzania hii! hivi unamuelea Nyerere?

Naona kinachokutatiza ni ubinafsi na udumavu wa akili karibu hapa utapa dawa, YOUR SINGLE FUNCTIONING MIND LIKE A WRIST WATCH WILL then become a truely great thinker, JF inahitaji kutibu vichwa kama chako, magamba yatakutoka!
 
JK ni mwadilifu na hapendi malumbano!! Hawezi kufanya midahalo na Undergrounds(kama huyo dkt mwingine). Level ya JK ni akina Obama, Bush, Cameroon!!
Ahahahaaaah!!! Utani mwingine bana..
 
Mkuu mimi sihitaji kusifia watu kuongea ongea maana tunaongea sana na hakuna tulipofika cha ajabu bado wewe unahitaji kushindanisha watu kwa kuongea ili ushangilie kama simba na yanga au manchester na asernal. Hilo la uchumi, demokrasia, na technolojia unahitaji reference za aina gani au unataka nikopi nipo tanzania tangu kipindi cha Nyerere hadi sasa. Na familia yetu ni miongoni mwa waathirika wa siasa zile zenye mapungufu hayo hapo juu.

Kama utaendelea kutamani kujenga misingi ya demokrasia, technolojia, na uchumi kwa ku-copy ya Nyerere basi ipimwe akili na hata awe Prof lazima akili yake ipimwe.

Aliyedumaa akili ni yule anayelazimisha sera, na falsafa zilizoshindwa kutaka ziendelee,ili kulinda mizimu ya babu.
 
Wajinga ndio waliwao na wewe ukiwemo, huoni wenzako wa nchi za kiarabu?
Katika Miongozo yake Mwl Nyerere alisema

"....THE CCM PRESIDENTIAL CANDIDATE (AND VICE PRESIDENTS) NEEDS TO BE A PERSON OF COMPLETE HONESTY AND INTERGRITY, CAPABLE, STRONG, FIRM, AND WITH CLEAR PRINCIPLES WHICH HE CAN EXPLAIN AND DEFEND...."

Sasa kwa haya machache hadi leo siamini Alichokifanya JK kwa Kugoma kuhojiwa au Kufanya MDAHALO katika vyombo vya HABARI! tena na kuagiza na wagombea wote wa CCM kukataa kuhojiwa kwenye midahalo ya aina hiyo kipindi chote!

Hakika nililipenda japo tungepata MDAHALO KATI YA Dr JK na Dr Slaa! wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana!

Manyoya huwa yananisimama nikijaribu kupata picha ya MDAHALO huo ungekuaje aiseee!

Kwa nini JK katukosesha haki zetu kama watanzania kumuhoji laivu (acha yale mahojiano ya mwisho, pale ANATOGLOU, siyaamini kabisa)

Baada ya kujipa angalizo hilo hapo juu la Mwl Nyerere, najiluliza maswali yafuatayo:

1. Je JK Hakidhi sifa alizoanisha Nyerere? (zisome tena tafadhali) (tusijesema hatukuambiwa)
2. Je JK na wagombea wengine wameshindwa kuexplain na kudefend their honesty, intergrity, strength, firmness na principles zao, kutokana na magamba yao?
3. Je JK ANAMGWAYA (anamuogopa) Dk Slaa kupambana nae katika mdahalo wa laivu?

MASWALI MADOGO YA NYONGEZA:
aaa) Je hivi watanzania ni watu wa aina gani, kwa kuwachagua watu ambao hawawezi kujitokeza bila aibu mbele ya vyombo vya habari na kuhojiwa ili kupimwa kama wanafaa au hawafai?

bee) Hizi mambo za mtu anaongoea ahadi zisizoyamkinika za mabomba kutoa maziwa na asali na kila baada ya sekunde kumi anamalizia na (C*M oyeee!!!) zitaendelea hadi lini?

tena kuulizwa maswali hataki, yaani ni sawa na mtu anayetaka kupewa ajira na hataki kufanyiwa INTERVIEW, tena mwisho wa siku wanachaguliwa :lock1:AISEE TANZANIA NI NCHI YA AJABU SANA!

MUNGU ATUTAZAME!
 
jk ni mwadilifu na hapendi malumbano!! Hawezi kufanya midahalo na undergrounds(kama huyo dkt mwingine). Level ya jk ni akina obama, bush, cameroon!!
mmh kunawatu wanavituko!
Unatamani tuu aamke awekama hao?
 
JK ni mwadilifu na hapendi malumbano!! Hawezi kufanya midahalo na Undergrounds(kama huyo dkt mwingine). Level ya JK ni akina Obama, Bush, Cameroon!!

ha ha ha ha ha kweli mmeshikwa pabaya... halafu hapo kwenye red hakuna mtu kama huyo au ni kilaza kingine ndani ya ccm?
 
JK ni mwadilifu na hapendi malumbano!! Hawezi kufanya midahalo na Undergrounds(kama huyo dkt mwingine). Level ya JK ni akina Obama, Bush, Cameroon!!

Nchi hii ina mambo,we mtz wa wapi? nina hakika huyo 'dk' angetokea siku yenyewe angeaibika sana.
 
Mkuu mimi sihitaji kusifia watu kuongea ongea maana tunaongea sana na hakuna tulipofika cha ajabu bado wewe unahitaji kushindanisha watu kwa kuongea ili ushangilie kama simba na yanga au manchester na asernal. Hilo la uchumi, demokrasia, na technolojia unahitaji reference za aina gani au unataka nikopi nipo tanzania tangu kipindi cha Nyerere hadi sasa. Na familia yetu ni miongoni mwa waathirika wa siasa zile zenye mapungufu hayo hapo juu.

Kama utaendelea kutamani kujenga misingi ya demokrasia, technolojia, na uchumi kwa ku-copy ya Nyerere basi ipimwe akili na hata awe Prof lazima akili yake ipimwe.

Aliyedumaa akili ni yule anayelazimisha sera, na falsafa zilizoshindwa kutaka ziendelee,ili kulinda mizimu ya babu.

Aiseee kuna jamaa yangu mmoja nae ni kama wewe, ni mmoja wa familia za KIFISADI zilizotaifishwa mali enzi zile, basi akisikia Nyerere ni kama kabanwa ghafla na tumbo la Kuhara, Kila utakacho mwambia kuhusu Nyerere anafura fura. Ndugu yangu umekosea njia, JAMII FORUMS ni sehemu ya watu Open minded, People who are willing to learn and appreciate.

Naona unawaza leo na wewe UNGEKUWA NA BENZI LAKO, MASKINI, POLE SANA NDUNGU YANGU NYERERE HAANGALII SURA!

Tena kuhusu NYERERE HAPA UMEFIKA, ni mimi na Nyerere Mwanzo Mwisho!
 
hebu tujikumbushe interview ya CNN, JK akaulizwa swali:

Why is your country poor despite having all these resource?

Jibu nafikiri wadau wote mnafaham. Hiki ni kipimo tosha cha kuonyesha incompetence ya - wetu.
 
Back
Top Bottom