Mdahalo DR. JK na DR.Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo DR. JK na DR.Slaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Revolutionary, Apr 18, 2011.

 1. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Katika Miongozo yake Mwl Nyerere alisema

  "....THE CCM PRESIDENTIAL CANDIDATE (AND VICE PRESIDENTS) NEEDS TO BE A PERSON OF COMPLETE HONESTY AND INTERGRITY, CAPABLE, STRONG, FIRM, AND WITH CLEAR PRINCIPLES WHICH HE CAN EXPLAIN AND DEFEND...."

  Sasa kwa haya machache hadi leo siamini Alichokifanya JK kwa Kugoma kuhojiwa au Kufanya MDAHALO katika vyombo vya HABARI! tena na kuagiza na wagombea wote wa CCM kukataa kuhojiwa kwenye midahalo ya aina hiyo kipindi chote!

  Hakika nililipenda japo tungepata MDAHALO KATI YA Dr JK na Dr Slaa! wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana!

  Manyoya huwa yananisimama nikijaribu kupata picha ya MDAHALO huo ungekuaje aiseee!

  Kwa nini JK katukosesha haki zetu kama watanzania kumuhoji laivu (acha yale mahojiano ya mwisho, pale ANATOGLOU, siyaamini kabisa)

  Baada ya kujipa angalizo hilo hapo juu la Mwl Nyerere, najiluliza maswali yafuatayo:

  1. Je JK Hakidhi sifa alizoanisha Nyerere? (zisome tena tafadhali) (tusijesema hatukuambiwa)
  2. Je JK na wagombea wengine wameshindwa kuexplain na kudefend their honesty, intergrity, strength, firmness na principles zao, kutokana na magamba yao?
  3. Je JK ANAMGWAYA (anamuogopa) Dk Slaa kupambana nae katika mdahalo wa laivu?

  MASWALI MADOGO YA NYONGEZA:
  aaa) Je hivi watanzania ni watu wa aina gani, kwa kuwachagua watu ambao hawawezi kujitokeza bila aibu mbele ya vyombo vya habari na kuhojiwa ili kupimwa kama wanafaa au hawafai?

  bee) Hizi mambo za mtu anaongoea ahadi zisizoyamkinika za mabomba kutoa maziwa na asali na kila baada ya sekunde kumi anamalizia na (C*M oyeee!!!) zitaendelea hadi lini?

  tena kuulizwa maswali hataki, yaani ni sawa na mtu anayetaka kupewa ajira na hataki kufanyiwa INTERVIEW, tena mwisho wa siku wanachaguliwa :lock1:AISEE TANZANIA NI NCHI YA AJABU SANA!

  MUNGU ATUTAZAME!
   
 2. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuanzie hapa.

  JK's Cv kwa kifupi:-

  Jakaya Mrisho Kikwete , 1950-, Tanzanian political leader, b. Msoga, Tanganyika, grad. Univ. of Dar-es-Salaam (1978). He joined the defense forces while in college, and rose to the rank of lieutenant colonel before he retired in 1992. Kikwete entered politics in 1988 and served as minister of energy, water, and minerals (1990-94) and of finance (1994-95). He unsuccessfully sought the presidency in 1995 but then served under President Benjamin Mkapa as foreign minister (1995-2005). In 2005 he mounted a successful campaign for president as candidate of the ruling Party of the Revolution, winning 80% of the vote.

  Naomba ya huyu jamaa mwingine.....
   
 3. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,080
  Trophy Points: 280
  kwenye red hapo baadhi ya watu walidhani ni masihara na wakaskip huo mdahalo (mara ya kwanza na pili pia), lakini wote sasa tunaona kwamba MDAHALO ni 'taasisi' muhimu sana kuwapata watawalaa.
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  JK, JK, JK!!!!! Within six months from the time he was sworn in he proved himself to be nothing but a thief (Richmond). And he became a serial thief since then!!
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Pamoja na kwamba ungetumia lugha inayokubalika -- lakini unachosema ni kweli -- madigrii chungu nzima kumbe hamna kitu -- hamna uadilifu, hajali wananchi!!

  Nasikia Mugabe ana digrii sita lakini tazama anavyoipeleka nchi!
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  OK -- tumwite mdokozi basi!
   
 7. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Irrelevant! jamaa hajahoji cv ya jk amehoji kuhusu jk kutoshiriki mdahalo, sasa cv ya nini?
   
 8. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Karibu Mgeni hapa kwetu JF. Je u kati ya wale waliotumwa na chama cha magamba kuja kudhibiti mikiki ya JF?
   
 9. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Usitake ncheke! Hivi ule wa mwisho ulikuwa ni mdahalo au mfano! Wachambuzi wa midahalo tafadhali tufafanulieni. Pamoja na kuonekana kabisa kuwa maswali yalikuwa kama vile yameandaliwa (ukirejea mahojiano ya Clauds fm kwa siku hiyo hiyo utaweza kuligundua hili) lakini bado mkulu alionekana kupwaya kabisa ktk kutoa majibu.
  Watz tukapewa ahadi ya kubeba bia na kufungua vizibo.
  Yote tisa, Tambwe Hiza mara baada ya kuvuana magamba kawaondolea uvivu watz akidai kuwa kuna vyama vimehubiri kuwa ccm kuna mafisadi lakini watz wana akili wakawapuuza na kuwachagua ccm kwa kishimdo. Hapo mi ndo huwa natamani kupata msaada kutoka kwa watalaam wa akili, inakuwaje watz wanakuwa wepesi wa kusahau au ni dalili za kukata tamaa. Nchi imejaa uovu mpaka watendaji wenyewe hawaelewi iweje wanaendelea kuchaguliwa.
  Tafakari
   
 10. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hii CV haina maana cha muhimu ni kuangalia je katika nafasi alizoshika ali perform? Au ni kubebana style? Alipata ushindi wa 80% then kilichofuata hata wewe unajua, aliunder perform mpaka 2010 akachakachua ndio akapata 60% hii failure toka 80% mpaka 60%? tena ya kuchakachua!! Angekuwa anagombea na 2015 hakika angepata chini ya 10% maana hata wenye magamba wenzake wangemtosa.
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  JK ni mwadilifu na hapendi malumbano!! Hawezi kufanya midahalo na Undergrounds(kama huyo dkt mwingine). Level ya JK ni akina Obama, Bush, Cameroon!!
   
 12. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Teh! Teh! Teh! Teh! hii ungeipost kwenye jokes
   
 13. h

  hoyce JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kabla ya mdahalo wao mwenye thesis zao za PhD aweke hapa ili tulinganishe uwezo wao.
   
 14. A

  AridityIndex Senior Member

  #14
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama unampenda Nyerere na kushabikia falsafa zake na wakati huo huo unataka mageuzi kidemokrasia, kiteknolojia na kiuchumi. Basi unahitaji kupimwa akili na mtu kama mimi siwezi kukuunga mkono maana najua hakuna unachojua unacopy copy tu na ku-paste.
   
 15. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unaomba kwa nani? Wewe unayelinganisha linganisha halafu hitmisha PUMBA NA MCHELE
   
 16. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #16
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,219
  Likes Received: 3,780
  Trophy Points: 280
  Mtoa mada chonde chonde usichezee taaluma za watu Kikwete sio dr! Hajawa kusomea popote na hatasomea kamwe! Alipewa kwa dakika tu ili awatunuku wenye haki ya udaktari! Sichangii kwa kuumiza kichwa kwa kuwa kila mwenye fikra pevu anatambua kuwa kikwete hamfikii Dr Slaa kwa wajihi,werevu,tashwishwi,tungamo na sauti ya mashiko!! Moja ya makosa ambayo yanayowagharimu ccm ni kumpa urais huyu ndugu! Vyama makini huwa na wataalamu na wenye maono ya nani anastahili kuwa przda
   
 17. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ajitokeze basi katika mdahalo ajitetee na hiyo CV yake!
   
 18. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  yaani mimi hili huwa nashindwa kuelewa kabisa, INGEKUWA NCHI KAMA MAREKANI MTU ASIYETAKA KUHOJIWA ANGETUPILIWA KAPUNI!
  KWELI TUMPONGEZE DR SLAA KWA KUENDELEA KUTUPA ELIMU YA URAIA!

  KWA HERI ZAMA ZA WOGA TANZANIA!
   
 19. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  haaa haaa hii ni joke ya mwaka, jk huyu huyu anaekwenda kwa obama na anarudi tz anaulizwa na wasomi washauri wake kwamba enhee obama anasemaje, jk anajibu.....aaah eeeeh unajua obama amesema ananipenda saaana eeeeh!
   
 20. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  JK hata masters ya darasani hana, sasa thesis ya kuongea mbele za watu ndio kabisa!
   
Loading...