amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
- Thread starter
- #21
mimi pia mwanamke baba swalehe amini nakuambia wanawake wazuri wa kuoa wa zama za mawe za kati wapo na wanaume wa kutuoa pia wapo...ni kutuliza akili tuKawaambie hao wataalamu wa mahusiano " warudie tafit .. Hao wanawake walikua zama za mawe za kati ... Hizi ni zama za chuma ...