Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
-
- #61
Hahaha, kwa hiyo amnyanyapae na kumtuma chakula aache kabisa, mi naona itakuwa si poa! Huwa siamini kabisa katika limbwata, au labda mimi nina damu ya kunguni madawa ya kienyeji hayafanyi kazii? Niliwahi kuishi na dada fulani mluguru, dada yule alikuwa mshirikina balaa, yaani akipata parcel kutoka kwao lazima kuwe na vijitunguri, ni zaidi ya mara mbili nilishawahi kukuta mambo kwenye bahasha, mbaya zaidi mpaka maelezo ya kutumi adawa zenyewe yameandikwa kwa kila dosage, kwa hiyo nikimtight na kumhoji anakuwa hana la kusema anatoa vimacho tu, dada mwenyewe mrembo educated huwezi hata kumdhania, hizo mambo naona hazikuweza kitu kwangu, sikuwa nikifurahia sex kwake kabisaa zaidi ya kuenjoy kumwona akiwa amependeza kama pambo tu, sikuwa na msisimko naye kabisa kitu kilichopelekea niwe natoka na wadada wengine kutafuta furaha ya mapenzi! Kaka kozo okamoto nakushauri usimtenge bana huyo dogo, muincourage tu aondoe wazo la "mtu wa kumhudumi" achape kazi na ajiheshimu sana atashangaa atapata mtu wa kumpenda kwa dhati kuliko kutamani mume wa mtu, unamwelimisha na madhara yake, ataelewa tu mkuu!
hivi na wanaume wanakata viuno mkuu?.....:redface:
Halafu Mbona kama umeshapiga ila tu unatafuta "Justification" hapa??
Kitu cha " kampani hicho"!!dah, hako kadada nimekapenda kana maishairi adhimu!!
Hahaha, kwa hiyo amnyanyapae na kumtuma chakula aache kabisa, mi naona itakuwa si poa! Huwa siamini kabisa katika limbwata, au labda mimi nina damu ya kunguni madawa ya kienyeji hayafanyi kazii? Niliwahi kuishi na dada fulani mluguru, dada yule alikuwa mshirikina balaa, yaani akipata parcel kutoka kwao lazima kuwe na vijitunguri, ni zaidi ya mara mbili nilishawahi kukuta mambo kwenye bahasha, mbaya zaidi mpaka maelezo ya kutumi adawa zenyewe yameandikwa kwa kila dosage, kwa hiyo nikimtight na kumhoji anakuwa hana la kusema anatoa vimacho tu, dada mwenyewe mrembo educated huwezi hata kumdhania, hizo mambo naona hazikuweza kitu kwangu, sikuwa nikifurahia sex kwake kabisaa zaidi ya kuenjoy kumwona akiwa amependeza kama pambo tu, sikuwa na msisimko naye kabisa kitu kilichopelekea niwe natoka na wadada wengine kutafuta furaha ya mapenzi! Kaka kozo okamoto nakushauri usimtenge bana huyo dogo, muincourage tu aondoe wazo la "mtu wa kumhudumi" achape kazi na ajiheshimu sana atashangaa atapata mtu wa kumpenda kwa dhati kuliko kutamani mume wa mtu, unamwelimisha na madhara yake, ataelewa tu mkuu!
mkuu umenena vema but kwangu ni ngumu sana,isitoshe hata atangaze vipi nina familia tayari
he he he unataka kozo okamoto afe muulize mke wake alimwambiaje...
yaani kanakuvuta uingie kingi....
Ah Kozo siku nyingine usinge jibu hivyo.hapo umemzalilisha sana sidhani kama kweli atakuletea shida zake tena. Ungemwambia sawa nikikuhitaji nitaomba kampani yako.halafu unakuwa humhitaji moja kwa moja . Ila akikuomba vimatumizi vidogo vidogo unampa kama unavyo. Japo pia hivyo vimatumizi vidogo vidogo sijajua ni bei gani.nasema hivyo kwa sababu lazima atakuzushia tu kwamba wewe huwa unampiga .iKumbuka huyo utakuwa naye hapo kwa offis kwa muda mrefu sana labda kama mmoja wenu yupo hapo kwa ajira ya muda.kwa kuwa wewe umemzalilisha lazima na wewe atakuja kukudharirisha.Halafu huo ujasili wa huyo demu ni wa kichaga. Je ni mchaga wa wapi
Fumba macho ukatunze kaka!!ha hhahaaa
dah! kweli kwenye miti hakuna wajenzi lakini hiyo miti ikinipata mm naweza kufungua store ya mbao kiukweli nafasi kama hiyo siwezi kuichezea OVER!!!
hapana kaka, sio namaanisha amtenge au kumyanyapaa, la hasha! nilichomaanisha ni kuwa awe mwangalifi tu maana hawa wadada wa mjini ni mtihani sana, hawatabiriki aisee! mtu anachukuliwa mumewe mchana kweupeeee watu wanabeba....wakija kushtuka, hee damage is already done! so awe makini naye tu..
ngoja ukute katumwa na mkeo kukuchunguza
Papuchi=Kaburi la wanaume
hivi na wanaume wanakata viuno mkuu?.....:redface:
dah,yaani unatamani niangamie hivi hivi kabisa?
[/B]
miss chagga,njoo usikie hii habari....naona umachame unataka kuingia hapa...