Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
-
- #41
Huyo ni muwazi na mkweli
Kwani umeoa:what:
Kama bado unasubiri nini kajileta mwenyewe:what:🙄
Kama usha oa,
Huyo mfanye nyumba ndogo!!
Yee si anataka!😉😉🙄
nimeoa mkuu,unadhani nitanufaika na nini kwenye hiyo nyumba ndogo?
Mkuu nitumie mamba take nimpe kampani Nana ww mlokole
unakumbukumbu nzuri sana miss chagga,kwa hiyo ndo unanishikishia mbwa ili nikang'wate?
embu tumjaribu mkeo tuone kama atafanya.... ila anza kumpa vipimo vya geneza lako watu8 kwanza ndo tufanye jaribio.....
...mhh miss chagga,!! acha kumuingiza chaka kijana....
he he he unataka kozo okamoto afe muulize mke wake alimwambiaje...Ungepiga tu Mkuu,
"Loose Ball" kama hizo sio za kuziachiaga, manake unaweza ukatangaziwa kwa watu kua "haudindi" kaka!!
Ila tu, VAA!!
simuungizi chaka ila kitu kitamu kimekuja chenyewe mzani alafu utaki loh...... sema mke wake ni nouma alishamwambia anamwekea sumu akigundua anacheat .... mmmh
naogopa kuachiwa watoto niwalee peke yangu
hahahaha kunguru muoga huishi siku nyingi.......
ila akinogewa lazima iyo siku afe
duu aiseee niweke mimi kaka hapo usininyime hayo mimi ndio mambo yangu wewe nielekeze anapatikana wapi niibuke
kozo okamoto hapo ndg yangu kuwa makini sana. Samahani nisieleweke vibaya, hata hiyo huduma yake ya kukununulia chakula anza kujihami nayo kwani anaweza hata kukuwekea limbwata ukajikuta unafall bila kupenda na ukaharibu upande wa familia yako (ndoa yako km umeoa)...pia hwez kujua ameshawaambia wanaume wangapi hiyo script yake ya kutaka msaada na kutoa kampani maana duh, ana guts za hatari sana....kuwa makini kaka yangu....
duu aiseee niweke mimi kaka hapo usininyime hayo mimi ndio mambo yangu wewe nielekeze anapatikana wapi niibuke
unapenda kukata kiuno?
mwe!!! mimi na uzinzi wapi na wapi mkuu?hahaha unanionea bure mkuu
unapenda kukata kiuno?