Haya ya Familiar ya kawaida tu Mkuu, na yanajulikana tu, hayawezi kukuzuia.mkuu umenena vema but kwangu ni ngumu sana,isitoshe hata atangaze vipi nina familia tayari
kwani nani atamwambia, we malizana nae tu
***Mpira wa Kona huo***
Wewe ulivyo ukatae wewe? Sema tu hapa huwezi kueleza yote... but nilimueleza siwezi kutoka nae lakini kama atakuwa na shida basi anione tu kama nitakuwa na uwezo wa kumsaidia basi nitafanya hivyo...
Mkuu njoo huku kunduchi kuna jamaa anaitwa ''kapulanyege' atakusaidia kitaalamu jinsi ya kumudu kazi.......ukifika mtongani tu ukiulizia ''kapulanyege'' unampata............!!!!!!!!!!
Haya ya Familiar ya kawaida tu Mkuu, na yanajulikana tu, hayawezi kukuzuia.
We Linda heshima yako ya Uanaume hapo Mkuu, unless labda ni demu mbaya havutii!!
Wewe ulivyo ukatae wewe? Sema tu hapa huwezi kueleza yote
*******mkuu huo utakuwa wa kursha , ndo hauna kuotea****** Kaka Kozo acha uoga, dunia inabadilika kutongoza si wanaume tu, ndo maana kakutokea!! siku nyingine omba muda kabla hujatoa jibu.
SP
Sijawahi kuona mjapani aliyezubaa kama wewe
Hapana ,Siyo mpira wa kona hiyo itakuwa loose ball. Refer yale mabao aliyofungwa kaseja juzi kwenye mtani jembe!***Mpira wa Kona huo***
mkuu we unanitafutia mabalaa
tatizo sio kutongozwa but dah sipendi uzinzi
kozo okamoto hapo ndg yangu kuwa makini sana. Samahani nisieleweke vibaya, hata hiyo huduma yake ya kukununulia chakula anza kujihami nayo kwani anaweza hata kukuwekea limbwata ukajikuta unafall bila kupenda na ukaharibu upande wa familia yako (ndoa yako km umeoa)...pia hwez kujua ameshawaambia wanaume wangapi hiyo script yake ya kutaka msaada na kutoa kampani maana duh, ana guts za hatari sana....kuwa makini kaka yangu....
Maajabu ya Dunia,
Wewe leo hupendi uzinzi?
Sasa naamini "SHETANI AKIZEEKA HUGEUKA MALAIKA"
uoga wako ndio umaskini wako, shaurilo
Nasema hivi 'ole wako ungonoke nae utanitambua vizuri jina langu la asili ni lipi'
ndo maana huwa nakupenda sana mtu wangu jamiif,kwanza unanijali na unamjali wifi yako pia,afu cha muhimu zaidi umenipa maakili kuhusu msosi,inabidi na staili ya kula ibadilike.thankx sana mtu wangu,nitakutafuta baada ya mwaka mpya ili tupige stori mbili tatu