Mdada wa NMB ananipa wakati mgumu

Muibukie kama vipi.
Mpige saundi, Mwambie kelele zake wewe hoi,
Huli hulali unamuwaza yeye, na ukinywa maji unamuona kwenye glass.
 
kwani usingeandika NMB usingeweza kuwakilisha tatizo lako!?? au wadada ya NMB ndivyp walivyo?
 

kulikuwa na UMUHIMU WOWOTE KUITAJA NMB ILI UJUMBE WAKO UFIKE????

 
Mtizamo wangu ni kwamba huyo mdada anapiga kelele makusudi tu kukutia nyege ili siku akiwa peke yake ukamuombe starehe. Pole ndugu yangu, ni mitego tu hiyo. Usikute anakuwaza wewe anapogegedwa, mwendee tu akikukatalia ni siri yako na hapa usirudi tena.
 

hama nyumba
 
Potezea tu! huyo demu ni mcharuko! na jamaa ni mtu wa hovyo <why cant he control his wife> tena inawezekana wanafanya makusudi
 

duhhii kali
 
Ongea nae ana kwa ana mtatue tatizo. Ikiwezekana uongee wakiwa na huyo mgegeduaji!
Waambie mgegedo wapo umekua kero kama hawataacha utawapiga picha uwapelekee uwazi na ijumaa waanikwe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
she's a screamer eeeh...kila mkisikia kelele tu,nendeni mkagonge mlango kwa nguvu...oyaaaaa,demu wako anazingua bwanaaa,aibisha balaa,ndo atajifunza
 
Kazi ndogo sana, mrekodi hizo kelele zake hafu siku nyingine zipige kwenye redio huku akiwa anasikia, weka sauti ya mwisho kabisa mpaka mama mwenye nyumba asikie.

Angalizo: Hii usimuhusishe mkeo, fanya kimya kimya.


hahahhahhha, samahani kwa neno hili wewe mkuu Kanigini ni 'muhuni' wa ukweli, lol sipati picha kamkanda kakiwa kanalia yake
 
Last edited by a moderator:
Acha URONGO mukubwa we Makanyagio uliona wapi MCHAGA NA MAKELELE??!?? Vijitu viongo kweli ungesema zaramo au Kule kwetu hapo sawa tungo yako at list ingepata meno..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…