Sijui una umri gani lakini sisi tulioishi miaka mingi, tumeishawaona, kuwasikia na kuishi nao wapiga kelele. Wako wengi tu. Na amini usiamini, sio kwa kupenda kwao, inakuja tu na akimaliza anauliza hivi majirani wametusikia?
Tiba
Ustaarabu umekuwa msamiati kwake, akikua ataacha, nadhan ndo kwanza anaingia kwenye ulimwengu wa madavidavi, halafu utakuta kelele zenyewe ni za kumzuga jamaa hakuna mapenzi ya kweli, ni kuweka mazingira ya kumteka akili mshkaji. Usimuoge, kama vipi muuleze huyo jamaa yake kiustaarabu kuwa anawanyima pumzi kwa kelele zake wakati anazini ajaribu kuwa na privacy na respect others. akikujibu mbofu mbofu hama tuu hapo.
Puli ya nini wakati jamaa kaoa?
Sijui una umri gani lakini sisi tulioishi miaka mingi, tumeishawaona, kuwasikia na kuishi nao wapiga kelele. Wako wengi tu. Na amini usiamini, sio kwa kupenda kwao, inakuja tu na akimaliza anauliza hivi majirani wametusikia?
Tiba
inaelekea una kawivu fulani
kwanza umeanza kumsifia that means unamtamani
pili umeanza kusema ishu ya mapenzi na boyfriend wake
inaonyesha wivu umekujaa unamtamani huyo binti amtose umchukue wewe
naona ishu hapa sio sauti wala makelele unamtamani awe wako..
ina maana wapangaji wote kama kuna wazima zaidi yako hawajatokea kumkanya na kumtia displiniiiii???
U ryt Tiba kuishi kwingi kuona mengi lakini sio yote.Sijakataa usemayo na ndio maana nimekwambia wengine ni wazushi.....sijasema wote.Maamuzi ni yake sasa kuhama au laaah,maana point yake kubwa ya kero ni kama watakuja wageni.Ila yeye ameanza kwa kusifia mdada.....teh teh
weka picha tumwone mtoto wa KichaGGGAAAAAA
Umeoona eh? kaanza kumsifia umbile lake,midadi yake,huyu anampango wa kumgonga tu!ahaahha,we unafikiri solution haioni mbona angeshahama siku nyingi. Huyu bila shaka anaenjoy maana inaonekana hajaoa..!!!!
Kazi ndogo sana, mrekodi hizo kelele zake hafu siku nyingine zipige kwenye redio huku akiwa anasikia, weka sauti ya mwisho kabisa mpaka mama mwenye nyumba asikie.
Angalizo: Hii usimuhusishe mkeo, fanya kimya kimya.
Umeoona eh? kaanza kumsifia umbile lake,midadi yake,huyu anampango wa kumgonga tu!
Sinple. Mrekodi afu mtumie kwe whtsup.
Mtishie unayo video, akipiga kelele tena, utaiweka kwenye utube.
Akishamrekodi asikose kuweka hapa JF tuzisikie ili tumshauri vizuriKazi ndogo sana, mrekodi hizo kelele zake hafu siku nyingine zipige kwenye redio huku akiwa anasikia, weka sauti ya mwisho kabisa mpaka mama mwenye nyumba asikie.
Angalizo: Hii usimuhusishe mkeo, fanya kimya kimya.
Akishamrekodi asikose kuweka hapa JF tuzisikie ili tumshauri vizuri