ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,152
Habari zenu waungwana.
Naiaminia JF kwani kila nikihitaji ushaur mbalimbali au vijana wa kaz huwa nafanikiwa.
Naomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata msichana wa kazi plz ani-PM.
Nipo Arusha Mjini, nipo mimi na mume wangu tu..usafi wa nyumba na kaz ndogondogo za.nyumbani..mshahara si ishu kwangu hata laki naweza kumlipa cha muhim afanye kaz kama nitakavyo.
Awe na heshima..umri kuanzia miaka 18 siajiri watoto tafadhali.
Naomba awe ametokea mikoa ya Kanda ya kaskazini kama Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Tanga. Maana itakua rahisi kwangu hata kuijua familia yake wa mikoani labda wawe na ndugu Arusha.
Natanguliza shukrani zangu kwenu..