Mdada wa benki wa ukweli sana

Mdada wa benki wa ukweli sana

Hapo fresh sasa kama una nia ya kumla fasta mtangazie dau la maana fasta .

Ila kama una nia ya kuzama mazima jiandae kufilisika pia

Mademu wazuri ni kuchapa na kusepa
Thanks mkuu......khy dau la kumla linaeza likawa kwenye km laki ngap hv
 
Habarini wadau....leo mchana niliimgia azania bank tawi la dodoma...aisee kuna mdada mmoja yuko hapo mweupe mzuri hv mfupi hivi bank teller..mtoto wa ukweli sana...kama kuna mtu anamjua jamani...msaada wadau
yumo humu ndani,ameshakusikia atakufuata
 
Thanks mkuu......khy dau la kumla linaeza likawa kwenye km laki ngap hv
Huyo anacheza na hela pale dirishani we unadhani utampa ngapi

Weka kuanzia M1 huchomilewi hapo unateleza na winga teleza wako
 
Hapo fresh sasa kama una nia ya kumla fasta mtangazie dau la maana fasta .

Ila kama una nia ya kuzama mazima jiandae kufilisika pia

Mademu wazuri ni kuchapa na kusepa
Dah Mkuu umeanza vizuri ila mwisho umechafua hali ya hewa
 
Ukitoa/kuweka hela dirishani ile copy pay/deposit slip andika ujumbe "naomba #" pitisha pale dirishani halafu akiandika chukua huna haja ya kuongea. Hili zoezi linakuja baada ya kuwa mcheshi kwake tangu umesogelea dirisha kupata huduma.
 
Thanks ntafanya hivyooo
 
Ukitoa/kuweka hela dirishani ile copy pay/deposit slip andika ujumbe "naomba #" pitisha pale dirishani halafu akiandika chukua huna haja ya kuongea. Hili zoezi linakuja baada ya kuwa mcheshi kwake tangu umesogelea dirisha kupata huduma.
 
Habarini wadau....leo mchana niliimgia azania bank tawi la dodoma...aisee kuna mdada mmoja yuko hapo mweupe mzuri hv mfupi hivi bank teller..mtoto wa ukweli sana...kama kuna mtu anamjua jamani...msaada wadau
wiki hii amesema ananipa tena
 
Kwenye tawi moja la KCB kuna dada mmoja alikuwa ananirudishia excess kila nikipeleka hela inakuwa inazidi 20 sometimes mpka 40 hivi. Nikawa natulia sana wakati wa ku count ili niwe na uhakika, sikuwa nafikiria vibaya maana ni hela ya company. Sasa ikafika mda nikiiingia tu pale bank tellers wananiambia nenda pale kwa huyo dada nikawa na wasi wasi sana. Siku nikaangia sikumkuta ma teller wengine wakanihudumia kimya kimya. Nikamuuliza security wa pale akaniambia yule dada ameacha kazi ila akawa anacheka cheka, nikayaacha kama yalivyo. Baada ya miezi kadhaa nipo office nasikia kuna mgeni wako kuchungulia ni yule dada wa KCB nikamchangamkia sana, saa saba hio mchana tukaenda kula lunch ndio akanipa story yake kuwa anafanya biashara zake na anamshukuru Mungu zinaenda vizuri yupo pale anataka kununua mzigo amepungukiwa na laki 2, roho ikafanya paaaa!! nimpe nisimpe? nikaendaa ATM nikampa laki na nusu akashukuru na ahadi kunirudishia within 3 days, akarejesha kweli!! mwisho nikaja kugundua kumbe alinizimikia sana. Mkuu na wao ni binaadamu wanapenda pia. Tongoza mkuu lakini uwe na nia ya kuoa tu
 
Back
Top Bottom