Mdada wa benki wa ukweli sana

Mdada wa benki wa ukweli sana

Kwenye tawi moja la KCB kuna dada mmoja alikuwa ananirudishia excess kila nikipeleka hela inakuwa inazidi 20 sometimes mpka 40 hivi. Nikawa natulia sana wakati wa ku count ili niwe na uhakika, sikuwa nafikiria vibaya maana ni hela ya company. Sasa ikafika mda nikiiingia tu pale bank tellers wananiambia nenda pale kwa huyo dada nikawa na wasi wasi sana. Siku nikaangia sikumkuta ma teller wengine wakanihudumia kimya kimya. Nikamuuliza security wa pale akaniambia yule dada ameacha kazi ila akawa anacheka cheka, nikayaacha kama yalivyo. Baada ya miezi kadhaa nipo office nasikia kuna mgeni wako kuchungulia ni yule dada wa KCB nikamchangamkia sana, saa saba hio mchana tukaenda kula lunch ndio akanipa story yake kuwa anafanya biashara zake na anamshukuru Mungu zinaenda vizuri yupo pale anataka kununua mzigo amepungukiwa na laki 2, roho ikafanya paaaa!! nimpe nisimpe? nikaendaa ATM nikampa laki na nusu akashukuru na ahadi kunirudishia within 3 days, akarejesha kweli!! mwisho nikaja kugundua kumbe alinizimikia sana. Mkuu na wao ni binaadamu wanapenda pia. Tongoza mkuu lakini uwe na nia ya kuoa tu
Afande..... Hongera kwa kueleweka., Ila back ground yake waijua!
Au ushapatikana tayari tuu
 
Habarini wadau....leo mchana niliimgia azania bank tawi la dodoma...aisee kuna mdada mmoja yuko hapo mweupe mzuri hv mfupi hivi bank teller..mtoto wa ukweli sana...kama kuna mtu anamjua jamani...msaada wadau
Naona mdada mwenzetu unajipigia promo, hivi vyuma vimekaza hadi kwa waajiriwa wa Banks? Tujiheshimu bhanaah!!
 
huyo demu unampata?
Sina hakika ila Kuna tawi moja jijini hapa.... Kuna mdada tulikuwa nae MAENEO ila akapotea wakidai Ni MTISS ilaaa baadae nikamkuta bank, so sidhani Kama ndio huyo. Fanya nae maisha Kaka mkubwa maisha Yenyewe ndio haya haya. HAKUNA Cha kuogopa
 
Kumbe wa fupi tunapendwa hadi raha sana sasa kaka j ukitaka kumpata mfupi mwenzetu.
Fanya hivi mukwe nenda pale umwambie samahani dada ningeomba kujua jina lako.
Naomba namba yako ili nikipata dharura kuhusiana na hapa niwe na kuuliza.
 
Bila shaka
atakua
anatokea
kaskazini
uyoo..maana
uku so poa
aisee..!!
 
Mbinu za kumpata huyo mtoto
1- Toa Hela
2- Toaa Hela kaka
3- Toa helaa tu Brother
4-Mwaga helaa tu Brother
5-Toaaaa mkwanjaaa tu
Ndo solution ya haraka ingawa mbeleni utalia na kusaga meno maana uhusiano wenu utakuwa umejengwa kwenye msingi wa PESA tuu.
 
mkuu njia ya kumpata we nenda ukiwa umeandika no zako kwenye plain paper mwambie ukitoka hapa leo naomb unitafute
 
dah yule dada wa ukweli sana wiki hii nimemuona tena
 
Back
Top Bottom