Mdada wa benki wa ukweli sana

Mdada wa benki wa ukweli sana

Habarini wadau....leo mchana niliimgia azania bank tawi la dodoma...aisee kuna mdada mmoja yuko hapo mweupe mzuri hv mfupi hivi bank teller..mtoto wa ukweli sana...kama kuna mtu anamjua jamani...msaada wadau

Ungemtongoza hapo hapo bank ili akupe namba yake umjulie hali baada ya kazi, mbona unataka kuwa kama mwanamme wa Dar kuogopa ogopa bila mpango kisha unakuja mtandaoni kulalamika?
 
Habarini wadau....leo mchana niliimgia azania bank tawi la dodoma...aisee kuna mdada mmoja yuko hapo mweupe mzuri hv mfupi hivi bank teller..mtoto wa ukweli sana...kama kuna mtu anamjua jamani...msaada wadau
Nitajie mahali ilipo hiyo bank, Nina safari ya kuja Dom next month
 
Mtoto kanipa game leo...naenda kumla
 
Na unapozitoa hizo hela hakikisha kuwa unaongeza noti ka 4 hivi kwenye kila fungu halafu ujifanye ka hujui kuzihesabu. Baadaye mwombe namba yake ili hata ukimtuma mtu kukuwekea umtume kwake straight. Hakika utapate hiyo namba yake tu
Wewe jamaa inaonekana umewafyeka sana wadada wa benki
 
Back
Top Bottom