Dah kumbe wezi hawa aiseeNilienda na milioni mbili elfu kumi kumi tupu na nilizihesabu zaidi ya mara 3 zikawa fresh sikuzipanga kwa laki laki nikaweka pamoja nikafunga ruber band nikasokotea kwenye nylon nikaenda bank nikaandikisha acount namba yangu na majina nikaakaa kwenye folen mpaka ikafikia zam yangu nilipofika pake mapokezi nikampa karatasi na hela nikafungua ile nylon na zile ruber band nikampa akapokea akawa kama anazipigia pigia pale mezani kama anazishawazisha zilingane alafu akatulia akawa kama kuna kitu anashangaa nyuma yangu yani kama anaangalua wale nilowaacha kwenye foleni mimi si nikageuka kutizama ***** pale hakuchelewesha akadondosha hapo niti 3alafu ile hela akaweka kwenye mashine ya kuhesabu akaniambia bado hela mi nikamwambia kivipi akasema bado 30 huwezi amini nilimkalipia hadi akaja mama mmoja nadhani ni mkubwa wao nikamwelezea kumbe ule mchezo niliushtukia nikamwelezea yule mama niko tayari tuangalie camera yaani nilikomaa hadi akanywea..
Ni story ndefu mkuu siwezi imaliza saa hivi
Nimetoka kumtolea mahari na harusi ni jumamosi lakini kwa comment hii...nimesitisha kila kitu wanalipe gharama zangunamjua vizuru, mweupe mfui wa wastani, anaitwa Jane, binti wa mama Maria, nimepiga sana huyo kavu kavu, maamamamaae
yes mkuu ndo yeye aiseee...una number ykeenamjua vizuru, mweupe mfui wa wastani, anaitwa Jane, binti wa mama Maria, nimepiga sana huyo kavu kavu, maamamamaae
yukojee mkuuuKuna mwingine nilimkuta benki ya posta njombe mjini karibu na kanisa la KKKT.EE BWANAEEEEEEEEEE.WAKUBWA WANAFAIDI
Mweusi hivi mrefu, nimepiga piayukojee mkuuu
Anataka na sisi tukamuone live tumuhakikishie kama ni mzuri kweli.Yaani umemwona live ukashindwa sisi unataka tukusaidie nini tena
Kuna ukweli mkubwa hapaMtongoze kikawaida tu mjomba. Hao wanaosem Eti hela hela hela! Midomo yao imejaa zege. Unaweza kumuona demu mkali kumbe masikini yuko simple..saa kila mtu anaogopa kumtongoza kwa ukali wake, wewe ukiingia na lugha laini ya kawaida unakula mzigo. Mwanamke wa maana na anayejielewa ukianza kumtanguliza pesa anaweza kukudharau sana!
Sent using Jamii Forums mobile app