Mdada wa benki wa ukweli sana

Wewe jamaa inaonekana umewafyeka sana wadada wa benki
Usipende sana kusemasema nao. Pale wapo kikazi zaidi hivyo ili kuipata namba yake ni kusahau hesabu ya noti zako tu. Wenyewe ndo watakuomba namba
 
Vp ushawah kuwala
 
Habarini wadau....leo mchana niliimgia azania bank tawi la dodoma...aisee kuna mdada mmoja yuko hapo mweupe mzuri hv mfupi hivi bank teller..mtoto wa ukweli sana...kama kuna mtu anamjua jamani...msaada wadau
Mkuu na mm naenda hapo Azania nikamuone, kama analipa tuingie tu kwenye competition
 
Habarini wadau....leo mchana niliimgia azania bank tawi la dodoma...aisee kuna mdada mmoja yuko hapo mweupe mzuri hv mfupi hivi bank teller..mtoto wa ukweli sana...kama kuna mtu anamjua jamani...msaada wadau
Nimefanikiwaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…