Nilienda na milioni mbili elfu kumi kumi tupu na nilizihesabu zaidi ya mara 3 zikawa fresh sikuzipanga kwa laki laki nikaweka pamoja nikafunga ruber band nikasokotea kwenye nylon nikaenda bank nikaandikisha acount namba yangu na majina nikaakaa kwenye folen mpaka ikafikia zam yangu nilipofika pake mapokezi nikampa karatasi na hela nikafungua ile nylon na zile ruber band nikampa akapokea akawa kama anazipigia pigia pale mezani kama anazishawazisha zilingane alafu akatulia akawa kama kuna kitu anashangaa nyuma yangu yani kama anaangalua wale nilowaacha kwenye foleni mimi si nikageuka kutizama ***** pale hakuchelewesha akadondosha hapo niti 3alafu ile hela akaweka kwenye mashine ya kuhesabu akaniambia bado hela mi nikamwambia kivipi akasema bado 30 huwezi amini nilimkalipia hadi akaja mama mmoja nadhani ni mkubwa wao nikamwelezea kumbe ule mchezo niliushtukia nikamwelezea yule mama niko tayari tuangalie camera yaani nilikomaa hadi akanywea..
Ni story ndefu mkuu siwezi imaliza saa hivi