Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 43,897
- 103,967
Mm naziuza nataka nikupe bure 😎🤣🤣Sawa, unataka unielekeze namna ya kutumia?
Mm naziuza nataka nikupe bure 😎🤣🤣Sawa, unataka unielekeze namna ya kutumia?
Wanasema kuna watoto tutumie tafsidaKwani ukiisema item 'chupi' direct unakuwa umewakosea wananzengo?
Wa maofisini au uswazi?Kwenye pichu hapo kuna wadada hawabadirishi siku nzima kashindia pichu moja
Huyo utakuta kaiosha na udi uvumba na mane mane katia , kwa mtu mwenye afya njema usafi kidogo tu ,kule kunajisafi kwenyewe tukuna kadada nilikaokota club kwenda nako geto asee akananuka kama ng'onda na nilivyo na kinyaa aah nilikapenyesha hivi afu nait mea kali
WoteWa maofisini au uswazi?
🤣🤣🤣Huu mtego!Mm naziuza nataka nikupe bure 😎
Duh kweli mm bado sana kuhusu wanawake, nilijua vipo kwa wanaume tuu.Wapo ambao wanazo
Hahahaha,wawe wanatembea nazo akina kwenye pochiWote
Endelea kuwavua utajioneaDuh kweli mm bado sana kuhusu wanawake, nilijua vipo kwa wanaume tuu.
😂 Mm bado namlindia mke wangu, kama una nia ya kuniharibia uvulana wangu bc usije 😎🤣🤣🤣Huu mtego!
Na bikra hiyo sa itakuwaje mkuu?
Ushaelekezwa pa kuweka?
Tatizo hayo maeneo hua siyatumii hvy sio rahisi kujua hilo.Endelea kuwavua utajionea
Ndio mbon wengine wanatembea nazo na akisahau ana nunuaHahahaha,wawe wanatembea na akina kwenye pochi
🤣🤣🤣Mbavu zangu🙌😂 Mm bado namlindia mke wangu, kama una nia ya kuniharibia uvulana wangu bc usije 😎
Lipia tangazoMwanamke unakuwaje na kiharufu
Osha hizo nywele zisinuke,usikae na nywele miezii hadi zianze kutoa harufu
Safisha uso huo usiwe kama umemwagiwa pumba, ukiweza tafuta face wash uso uwe na nuru
Shingo hiyo isugue vizuri isiwe nyeusi kama ya mbuzi
Shuka kwenye manyonyo hayo sugua chini ya ziwa kuna tabia ya kutengeneza weusi, sugua vizuri katikati ya ziwa hapo pasiwe peusi
Sugua mgongo huo,shuka hadi mstari wa ikweta huo jasho la huko linatoa harufu si mchezo,sugua na unyoe hivyo vidaka ushuzi
Sugua wowowo hilo fanyia scrub hivyo vipele vinaisha, hakikisha linakuwa soft jamani sio gumu kama tairi 🤣
Ukimaliza lipake body oil lilainikeee
Sugua kwapa,nyoa hizo nywele za kwapa ndo maana kiharufu hakiishi,tumia limao kutoa harufu ya kwapa kama deodorant ya afu tatu imekushinda
Huko kwa bibi nyoa, safisha mashavu ya bibi nje na ndani, ukitoka period fanya steaming kutoa hiko kiharufu cha period.
Ukiweza kufanya waxing fresh!ukiweza kunyoa kwa shaving cream sawa,mradi tu usiwe na manywele huko
Sugua ulimi huo usinuke mdomo ni kero sana,meno yawe safi tumia mouth wash msichana unanukaje mdomo
Kucha zako hakikisha ni safi kama unafuga hakikisha ni safi kama ni fupi hewalaaaa, kama rangi paka ijulikane
Acha kutumia mkorogo
Acha kubadilisha wanaume nayo ni uchafu
Kunywa sana mtindi
Kula matunda
Acha kunywa energy drinks sio nzuri kiafya
Ukiweza nunua sunscreen jua sio zuri kwa ngozi
Hakikisha unanukia vizuri
Hakikisha una chupi nzuri
Mengine ongezeeeni...I come in peace ✌️View attachment 3287037
Tangazo lipo wapi hapo zaidi ya elimu kwa wanawake wenzieLipia tangazo
Hakuna cha kulazishwa ukute na yeye alitega je?Mkuu kher mtu akubali tok moyoni lkn sio kwaajili ya kutetea kibarua chake
Huyo ni kama gari, aanze kulipia kwenda car wash kuoga..Kuna dada huku mtaani nadhani anazingatia sana usafi na karibu yote hayo uliyoyaandika anayazingatia, ila sasa akienda kuoga then na ww ukifuata lazima bafuni ukutane na udongo chini kumbe ni idadi ya mafuta na manukato anayopaka hvy akioga yote yanaanguka chini.
Ni kweli kabisa,nishaziona ktk vipochi vyao, chupi ,vimtandio na tissueNdio mbon wengine wanatembea nazo na akisahau ana nunua