Mdada, ukipata mpenzi Mgande


Nasaha mujarabu wakati muafaka kwa wadada. Chagua chagua mwishowe upate koroma. Lugha rahisi sana, nyepesi na ya kueleweka imetumika kukuamsha, work on it itakusaidia.
I wish all the best to you all.
 
Dada upo sawa kabisa.
Wanawake acheni wivu wakijinga

Mwanaume ni wa wote, Ila tunampenda mmoja.

Na huyo mmoja akiniganda vizuri lazima ntatulia tu.

Pongezi ziende kwake mama Chanja,
Alinipambania bila kuchoka.
Leo naitwa baba bora
Hii ndo Nia yangu wote mpaka kieleweke
 
Yaani inasikitisha sana. Wewe Flowers ni jambo la kumshukuru MUNGU umeyajua haya.
Shuhuda ni nyingi Sana oooh nilichukuliwa mume au mchumba na rafiki au na house girl au na binamu lkn ukichunguza Kuna upenyo huyu Dada aliachia wewe Ndugu mdada pambania mahusiano Ganda kwenye mahusiano ng'ang'ania mahusiano ndo Siri ilipo
 
Well said. Kumbe mmeshagundua kuwa mkizingua tunawasubiria tuu pale mnapotaka watoto tunawajaza na kuwaacha kama masingle mama
 
Duuuu Aaaah sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…