Mdada, ukipata mpenzi Mgande

We mwali upo?? Cha kuumza ankoli wangu wa bandari Mwachiluwi nini?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipo udugu akeeee miss uuuu😘😘 Hekaheka tu za hapa na palee zinatutengaa kipenzi!!

!! Mwachi atakua amechanganya files rrrabdaa sio mimii walaii!!
 
Nipo udugu akeeee miss uuuu[emoji8][emoji8] Hekaheka tu za hapa na palee zinatutengaa kipenzi!!

!! Mwachi atakua amechanganya files rrrabdaa sio mimii walaii!!

Nakumiss mno udugu, au umepata kibabu cha kizungu kimekuficha?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa si unakuja mwenyewe airport, mimi sitaki kupokelewa na mtu mwingine yeyote hapa ujue.
Hapo sasaaaa nakujaaa mwenyeweeeeee, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
 
Udugu harusi tunayo [emoji7][emoji7][emoji7]

Tena ya kishua, hatutaki vikao wala pesa ya mtu!!! Wao waje wale, wanywe na vingine wabebe
Ndiwoooooooooooh!!! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Tena manyaku nyaku ya bongo movie uwe makini nayo sana udugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Twende nikupeleke Nguruka Kigoma uko tukamset shem, au Malawi kabisaa asione wala asisikie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaan tuzururee huko vijijini ndani ndanii tuka mkaange huyu bwanaa, afe kipa afe mshambuliaji, lazima tukaishii marekaniiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumiss mno udugu, au umepata kibabu cha kizungu kimekuficha?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie pia mekumis sana kipenzi juzikati nikawa sikuoni oni humuu nikawazaa ashaswitch niniii 😁😁😁🤭!!
Mie nipoo udugu akee maisha tyuuu yamenila kiboga udugu🤠!!
 
Yaan tuzururee huko vijijini ndani ndanii tuka mkaange huyu bwanaa, afe kipa afe mshambuliaji, lazima tukaishii marekaniiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo mingii yameingilianajeee lol!!
 
Yaan tuzururee huko vijijini ndani ndanii tuka mkaange huyu bwanaa, afe kipa afe mshambuliaji, lazima tukaishii marekaniiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kabisaaa kila chimbo tutaenda, za tunguli na makombe zote tunamix!!!

Kwa Biden lazima tukaishi ebooh!!!

Tupumzike na show za mwambino, sie live kwa Jigga na my role model Beyonce [emoji2222][emoji2222]
 
Mie pia mekumis sana kipenzi juzikati nikawa sikuoni oni humuu nikawazaa ashaswitch niniii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960]!!
Mie nipoo udugu akee maisha tyuuu yamenila kiboga udugu[emoji1783]!!

Mbona niko mwingi, sema muda mwingi nautumia na baby Countrywide si unajua penzi jipya lina raha yakeee uduguuu [emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Wewe kaa kwa ankoli wa bandari life lilainike banaa unafeli wapi udugu wangu?!! We mtoto wa town ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kabisaaa kila chimbo tutaenda, za tunguli na makombe zote tunamix!!!

Kwa Biden lazima tukaishi ebooh!!!

Tupumzike na show za mwambino, sie live kwa Jigga na my role model Beyonce [emoji2222][emoji2222]
Mshaanza ulozi sasa.

Khaa.
 
Nimekuelewa sana [emoji106]
 
Hoja zako zimeenda shule sana kuna la kujifunza kwa hoja zako
 
Mambo mingii yameingilianajeee lol!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzzz pakii mabegii, na andaa passport, lazima nikawauzee kwa wazunguu huko, wee hutaki kukaa Michigan??
 
[emoji23][emoji23]

Watu wanataka kuwapeleka bebez zao USA huko we unakuja na habari za magurudumu, yasukume mwenyewe [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapoo sasa umejuajee.?
 
Kabisaaa kila chimbo tutaenda, za tunguli na makombe zote tunamix!!!

Kwa Biden lazima tukaishi ebooh!!!

Tupumzike na show za mwambino, sie live kwa Jigga na my role model Beyonce [emoji2222][emoji2222]
Ndyoooooooh bila kusahau cappo pendwaa ya Riri na bebee akee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…