Mdada ukiitwa ghetto ujue Jamaa anataka papuchi

Mdada ukiitwa ghetto ujue Jamaa anataka papuchi

My friend nilikuwa naendaga kwake/ anakuja kwangu asubuhi saa mbili tunapika chai tunakunywa stori zinaendelea, tunapika cha mchana tunakula. Giza likianza ndo mtu anaondoka hatujawahi shikana hata paja.
Tatizo wanawake wengine ukimfanyie hivyo anakuzulia majina yasiyo na staha kiumeni!! Utasikia yule suruali tu hamna Mwanaume pale, najiachia kabisa ghetto kwake hata hushtuki. Simba wa kuchora
 
Wanawake ni viumbe dhaifu. Kuna maswali huwa wanauliza mpaka unashangaa!!! Ila ndio hivyo tuwachukulie poa cause ndio Mama zetu
 
My friend nilikuwa naendaga kwake/ anakuja kwangu asubuhi saa mbili tunapika chai tunakunywa stori zinaendelea, tunapika cha mchana tunakula. Giza likianza ndo mtu anaondoka hatujawahi shikana hata paja.
Atakua ni shosti wako huyo
 
Kwani hawajui? Wenyewe hua wanajiandaa kabisa,kunyoa vi yu zi na kuosha nanihii vizuri,sema sasa wakifika wanazuga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom