Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,826
- 1,660
HahahahaSeriously utoke tegeta mpaka mbagala na khanga,.??
HahahahaSeriously utoke tegeta mpaka mbagala na khanga,.??
Ana maanisha khanga ya kutumia ikiwa getoni mi hata ka siendi geto naenda popote hubeba mtandao au khanga kwa pochiNatokaje mbagala kwetu na khanga acha utani wewe
Soma alichokiandika kuhusu khanga au mtandio mwanamke yeyote anayejielewa lazima abebe yaan kwenye pochi lazima iwepoAna maanisha khanga ya kutumia ikiwa getoni mi hata ka siendi geto naenda popote hubeba mtandao au khanga kwa pochi
Okay mi ndivyo nilivomwelewa kiuhalisia huwezi.tembea na khanga umbali mrefu hivoSoma alichokiandika kuhusu khanga au mtandio mwanamke yeyote anayejielewa lazima abebe yaan kwenye pochi lazima iwepo
Kwani mechi huwa ni adhabu? Si wote tunapata utamu ama!!!?Mimi ndo maana huwa siendi geto la mwanaume hata iweje
Sio adhabu mwingine hata sio mpenzi wala hujawahi kuwaza kufanya naye ukifka tu anakubadilishia gear angani lohKwani mechi huwa ni adhabu? Si wote tunapata utamu ama!!!?
Haaaahhaaaa... Hapo sasa mkuuSio adhabu mwingine hata sio mpenzi wala hujawahi kuwaza kufanya naye ukifka tu anakubadilishia gear angani loh
Hii ID nikiionaga nawaza gari ya toyota carina sijui kwaniniSio adhabu mwingine hata sio mpenzi wala hujawahi kuwaza kufanya naye ukifka tu anakubadilishia gear angani loh
Kwenda geto ni majaribu sanaHaaaahhaaaa... Hapo sasa mkuu
Hii ID nikiionaga nawaza gari ya toyota carina sijui kwanini
jamani ila jina linakaribia kufanana🙁🙁🙁🙁Wadada hii tabia ya kuitwa ghetto then mnaanza kuuliza Nakuja kufanya nini? ife kabisa
Wee unajua kabisa mi nahitaji papuchi ila unaamua tu kunichosha na maswali yako
Tambua mwanaume yeyote anaekuita chamber anataka papuchi na si story zingine,kwa hiyo unapotoka kwenu vaa kabisa nguo simple kuvuliwa kama pichu na khanga au kiskirt na sio msuruali wa jeans wa Kubana tunapata usumbufu mno kuzivua hizo suruali
Ukiitwa ghetto si story zingine ni kugegedana tu.
sasa unaendaje gheto kwa mwanaume ambaye si kaka yako, baba yako wala ndugu wa karibu,Kwenda geto ni majaribu sana
Ni shida tupu kwa kweliHaaaahhaaaa... Hapo sasa mkuu
Mimi siendagi hata kwa dawa kuna mwanaume alinifundisha hyo maana kila MTU akwambia njoo kwangu ooohsasa unaendaje gheto kwa mwanaume ambaye si kaka yako, baba yako wala ndugu wa karibu,
matatizo mengine msiwe mnajitakia, vinginevyo mkienda muwe mnajua kitakachofuata huko ghetoo
Mbagala unafuata nini wakati nakuita hapa Kwandevu mamaaSeriously utoke tegeta mpaka mbagala na khanga,.??
aibu nimeona mimiSeriously utoke tegeta mpaka mbagala na khanga,.??
Mbona mnatembea na zile vicondom mnaviita leggings sijui ndio ushindwe khangaSeriously utoke tegeta mpaka mbagala na khanga,.??