mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,674
- 45,406
Ukija uvae kanga tu[emoji23] [emoji23]Niite basi naww gheroo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukija uvae kanga tu[emoji23] [emoji23]Niite basi naww gheroo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmh,.hao itakuwa akina "jodevi"[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Manabii uzalendo uliwashinda, iweje sisi ambao hata upepo ukipita tunatingishika[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukubwa dawa au sio[emoji23] [emoji23]Hahahahahaaaaa.
Samaki bila chambo humnasi mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmh,.hao itakuwa akina "jodevi"[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
polini a.k.a kichakani mkutane na fisi🙂🙂🙂Kama sio gherroo mtaenda wapi tena, eti[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]polini a.k.a kichakani mkutane na fisi🙂🙂🙂
Sasa utakuja geto au huji??Nakujua kakangu utataka nije na "full package"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cheee[emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa utakuja geto au huji??
Ukija unaniogopa ,usipokuja unanipenda.
Hata hesabu ya kujumlisha au kutoa ina taratibu/njia zake.Ukubwa dawa au sio[emoji23] [emoji23]
Seriously utoke tegeta mpaka mbagala na khanga,.??
Sawa sawa chiefHata hesabu ya kujumlisha au kutoa ina taratibu/njia zake.
Utakopa na kuweka pale ili ukamilishe jibu liwe sahihi[emoji23] [emoji23]
Kwahiyo akihama,unahama nae,au ndiyo mahaba yanaishia hapo unatafuta jirani mwingine?!Kama unakaa Tegeta achana na wanaume wa Mbagala.
Bunju, Boko, Mbezi Beach, Kawe na Goba ndo wanakufaa.
Na nmeletewa kilo mbili ya yale mazaga zaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....mpaka nmehis nikukomoana sasaCheee[emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]
Agha[emoji23][emoji23]Na nmeletewa kilo mbili ya yale mazaga zaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....mpaka nmehis nikukomoana sasa
Kwahiyo akihama,unahama nae,au ndiyo mahaba yanaishia hapo unatafuta jirani mwingine?!
SawasawaUsipohama naye unaachana naye.
Kamba ya mbali haiuwi nyoka.
Ko ko koooooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kamuulize kwann mpaka akafanya ivo ...kwakua mawifi nimarafiki atakuambia[emoji23]Agha[emoji23][emoji23]
Nimeshamvutia waya,anatiririka tuu hapa...chezea ngumi jiwe[emoji23]Ko ko koooooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kamuulize kwann mpaka akafanya ivo ...kwakua mawifi nimarafiki atakuambia[emoji23]
Sawasawa