Mdada natafuta nafasi ya kazi

Mdada natafuta nafasi ya kazi

kazi unaitaka lakini kuwa makini, utapigiwa na mamruki na maharamia pia.
 
Nina ujuzi mzuri wa computer katika program hizi (Ms- Word, Excel, Publisher, Power point, Acess, Internet, photoshop, illustrator na nyinginezo. Kwa ufafanuzi zaidi nambangu hiyo hapo juu.🙂🙂
Oh kumbe we ni sekretare...
 
Kuna jamaa ako na mwamvuli wa tigo pesa maeneo ya Mwenge alikuwa anaatafuta mfanyakazi utaweza kupigwa na jua?
 
Kuna jamaa ako na mwamvuli wa tigo pesa maeneo ya Mwenge alikuwa anaatafuta mfanyakazi utaweza kupigwa na jua?
Ataweza ni mdogowangu anaipenda sana kazi ya wakala na anauzoefu nayooo let's namba ya hiyo jamaa
 
Uzi wa dada umepata comment nyingi kweli,Kiufupi dada ushirikiano huu uliopata kama ni kazi ushapata kwa asilimia 99.9
 
Sasa dada Nacny kama umeolewa kwanini unahangaika ivyo jamani,wewe unatakiwa kuletewa mahitaji ndani sio kwenda kupigwa na jua barabarani,Mumeo huduma atoi nini
 
Ataweza ni mdogowangu anaipenda sana kazi ya wakala na anauzoefu nayooo let's namba ya hiyo jamaa
Mi natafuta binti wa kazi za ndani kama itamfaa niunganishe naye
 
Hellooo wapendwa!!!
Naitwa Nancy Nina ujuzi mzuri wa computer. Kwa maongezi zaidi wasiliana nami kwa namba 0658393979. Ahsanteeeee
Ushauri wangu angalia uwezekano wa kujiajiri. Kuna hii site mpya ambayo inaruhusu mtu kujiunga na kujiajiri.

Unachofanya ni kuandika unaweza mfanyia mtu kazi gani na kwa sh ngapi. Mazungumzo yapo maana kuna sehemu ya kuchat.
Icheki Ajiras: A Freelance Services Marketplace. Jiajiri Sasa

Ukitaka ufafanunuzi zaidi kuna blog hapo inaelezea inavyofanya kazi, laa sivyo nicheki pm.
View attachment 867969View attachment 867972
Screenshot_20180916-111224_Ajiras.jpeg
View attachment 867970
 
Sasa dada Nacny kama umeolewa kwanini unahangaika ivyo jamani,wewe unatakiwa kuletewa mahitaji ndani sio kwenda kupigwa na jua barabarani,Mumeo huduma atoi nini
nimeolewa na ninapata huduma zote ila si unajua tena maisha in kusaidiana. Mm binafsi zijazoea kukaa tu nyumbani napenda kujishughulisha mda niliokaa nyumbani unatosha kilichibaki hapa ni kazi tu ' upo hapo babangu
Mhhhhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom