Mdada natafuta nafasi ya kazi

Mdada natafuta nafasi ya kazi

Natumai mu wazima!!
Nina mdogo wangu anaitwa stela ana uzoefu mzuri wa mwaka 1 wa huduma za uwakala (mpesa,tigo pesa na kusajili line) anatafuta kazi. Mwenye uhitaji apige no. 0687598519. Asanteeeeen
 
Huhuhuhuhuh haya sasa mshapewa number..
Utajuta kuweka number Hapa..
 
Hili sio Tangazo kweli maana duh kwa midume ya Dar ilivyo si ajabu mda huu kuna kazi utakuwa unaifanya.
 
ANGALIZO: Humu ndani tunatafuta kazi sio mapenzi/Wapenzi. Ujumbe unahusu kazi wewe unaleta mapenzi kila kitu kinasehemu yakeee. Kama wewe binafsi unashindwa kutoa ushauri au maoni yako basis acha kuandika ujumbe wowote sio lazima utume ujumbe kwa mtu yeyote Mara niPM Mara nitumie picha Mara nimekupenda mambo hayo viiiiiiiiiiipi.....? MNAKERA SAAANA NA KUWENI WASTAARABU
 
Pole sana, naomba unijibu na Mimi pm yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom