[emoji2] [emoji2] badikoUngefafanua vizuri una ujuzi gani katika computer na level gani katika huo ujuzi
Hii ingesaidia kuongeza thamani ya bandiko lako
ebu fafanua vizuri je? ni ujuzi upi huo?Hellooo wapendwa!!!
Naitwa Nancy Nina ujuzi mzuri wa computer. Kwa maongezi zaidi wasiliana nami kwa namba 0658393979. Ahsanteeeee
Kuwa makini maana hiyo no uliyoweka unaweza juta hata kuijua jfHellooo wapendwa!!!
Naitwa Nancy Nina ujuzi mzuri wa computer. Kwa maongezi zaidi wasiliana nami kwa namba 0658393979. Ahsanteeeee
Nimeweka kwa record ya baadaeHellooo wapendwa!!!
Naitwa Nancy Nina ujuzi mzuri wa computer. Kwa maongezi zaidi wasiliana nami kwa namba 0658393979. Ahsanteeeee
Graphics and design unaweza?Nina ujuzi mzuri wa computer katika program hizi (Ms- Word, Excel, Publisher, Power point, Acess, Internet, photoshop, illustrator na nyinginezo. Kwa ufafanuzi zaidi nambangu hiyo hapo juu.🙂🙂
Kwamba hapo ndio umemaliza au sio.Hellooo wapendwa!!!
Naitwa Nancy Nina ujuzi mzuri wa computer. Kwa maongezi zaidi wasiliana nami kwa namba 0658393979. Ahsanteeeee
Samahani Mimi nimetokea kukupenda unasemaje hapo? Naomba jibuNina elimu ya form four na uzoefu wa miaka 4 katika utumiaji wa computer