Mdada/mama (miaka Kati ya 30 to 45) anahitajika

Mlima meru

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
114
Reaction score
20
Kama wewe ni mdada/mama wa umri huo na unataka kuwa na rafiki wa kiume wa kumwamini
Sifa;

  • Awe na Afya njema
  • Awe na kipato chake kizuri
  • atakuwa huru kuwasiliana na mimi na kukutana kwa nafasi itakayokuwepo

Naomba kama unasifa hizo unitumie private message (pm)
Akiwa yupo hii Mikoa ya kilimanjaro au Arusha itakuwa powa zaidi

Naomba kama hii mada haikuhusu uachane nayo pleas!
 
Wewe una umri gani? Kama miaka 40 hadi 55 kuna mdada anatafuta mwanaume wa umri huo. Mpm mmalizane
rorena
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe ni mdada/mama wa umri huo na unataka kuwa na rafiki wa kiume wa kumwamini
Sifa;
  • Awe na Afya njema
  • Awe na kipato chake kizuri
  • atakuwa huru kuwasiliana na mimi na kukutana kwa nafasi itakayokuwepo
Naomba kama unasifa hizo unitumie private message (pm)
Akiwa yupo hii Mikoa ya kilimanjaro au Arusha itakuwa powa zaidi

Naomba kama hii mada haikuhusu uachane nayo....pleaseeeee!

Amazing. Wakati wa kuanzisha mahusiano na pochi inaangaliwa kama imetuna.
 
Apoligise lady, nimesema huyo mdada awe na Afya njema, singeweka hiyo sifa kama mimi sina.
kaunga; Rorena amesema anatafuta mume, mimi nimesema natafuta rafiki (ni sifa mbili tofauti)
preta; kuhusu suala la kichumi hiyo Ni sifa ya ndani na inamuhusu muhisika, ila kiujumla mimi Nina simple life ndio sababu nikataka rafiki yangu awe stable
 
Orait........but una maanisha nini kwa kusema simple life......?
 
Hii Preta, nafikiri maswali mengine yananoga kumjibu muhusika kiufupi najitegemea
 
Hi habari,naweza kuwa rafiki yako?nami natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo
 
Back
Top Bottom