Mdada kufanya tendo la ndoa siku moja kabla ya ndoa yake!

Mdada kufanya tendo la ndoa siku moja kabla ya ndoa yake!

hahahahaaaaa! Kijanaaa! Unatakiwa uwena uso wa dagaa chagua moja kuikana ndoa au kuikubali ndoa. Mm nilishaikana tangu mwanzo siji kuoa hata sku moja ila mimba tu ndio ntawajaza

Umjaze nani? Na watu wanatumia vidonge na sindano za uzaz wa mpango?
 
Umjaze nani? Na watu wanatumia vidonge na sindano za uzaz wa mpango?

mbona unaushangaza ulimwengu ww??
Hivi wote wanaliozalishwa nyumban hawavijui vidonge? Kama huamin muulize Vaislay alipataje mimba. Au kama huamin bado ni pm namba yako uone kama hujaanza kuvimba tumbo baada ya mwezi tu
 
Last edited by a moderator:
mbona unaushangaza ulimwengu ww??
Hivi wote wanaliozalishwa nyumban hawavijui vidonge? Kama huamin muulize Vaislay alipataje mimba. Au kama huamin bado ni pm namba yako uone kama hujaanza kuvimba tumbo baada ya mwezi tu

Hahahahaaaa ngoja nakutumia nione kama navimba kweli! Chezea mpango wa uzaz... Ifate nyota ya kijani
 
Last edited by a moderator:
Mtatokomeza kwa kuacha kuwabeza wanawake kuolewa kisa Umri ! yaani hapo moja kwa moja Mwanamke anampenda Mwingineeee lakini kwa ajili ya Jamii anaamua kuolewa na huyo aliyejitokeza ili aepuke Masimango , mwisho wa siku Mchepuko hauachwi ngodo! chezea ukute Mume vitako viwili yuleeee anangorota wakati Michepuko wanakeshea ! 😛eace:
Lame excuse inayotumiwa na vicheche
 
Sio wadada pekeee... Kuna shost angu mmoja alikwenda honeymoon na bwanaharusi ilhali yeye sio bi harusi.

Bi harusi akaambiwa "We si ulitaka ndoa" masikini dada wa watu alikaa honeymoon bila mumewe.

Ndoa za kulazimisha hizi acheni tu. Kuondoka hawezi itakuwa aibu!
Hebu elezea vizuri maana mi sijaelewa kitu hapa.
 
Ndio maana sisi wachache tulioona mbali juu ya mahusiano na ndoa tumeamua kuweka pemben suala la kuoa. Haiwezekan kabisa unataka kulioa janamke halafu linaenda kugegedwa na mwingne sikubali kabisa hii kitu hapa ni mwendo wa mimba na kuyaacha nyumban yakikongoroka
Duh! una hasira balaa!!!!
 
ni dhambi kubwa kuliko hii....na mwanamke anayetembea na yoyote baada ya kulipiwa mahari ni malaya na hafai

kwanini asiwe na mismamo juu ya mwili ake??atatembea na kuaga wangapi jamani aaagrrrrrr

kama mtu ameamua kuolewa bhasi lazma ajitambue na afanye maamuzi
sio kuolewa kisa umri,au kuvaa shela,marafiki wameolewa ndo mana kla siku kulalamika tu

MUNGU atunsuru na hawa wenye tabia hzi

Umesema kwa busara rafiki, ukiamua kuingia kwenye ndoa ni lazima utumie akili na sio hisia. Mtu akishatoa/olewa mahari hana budi angalau kumheshimu yule aliyefanya vile kwa akili yake.

Nadhani maana halisi ya ndoa inapotea taratibu, tunadhani kuvaa shela na suti nzuri ndio ndoa. Nilishuhudia moja ya rafiki zangu akifanya kitu Kama hicho, usiku kabla ya ndoa aliondoka hatukujua kaenda wapi, asubuhi aliporudi home akasema alienda kuagana na ex wake, iliniuma sijui kwa nini.
 
mbona unaushangaza ulimwengu ww??
Hivi wote wanaliozalishwa nyumban hawavijui vidonge? Kama huamin muulize Vaislay alipataje mimba. Au kama huamin bado ni pm namba yako uone kama hujaanza kuvimba tumbo baada ya mwezi tu

uchokozi huu
 
Last edited by a moderator:
Sisi pia ni tatizo. Siku hizi tunafikiria mno kwa tamaa kuliko kwa uanaume wetu. Uanaume ni pamoja na kusimamia misingi ya UTU. Usichotaka ufanyiwe usimtendee mwenzako. Period.

NTU anajua na dhamiri yake inamsemesha huyu keshachumbiwa na anaolewa bado NTU huyo huyo anaona sawa kabisa kumtenda mwenzake ili tu kukidhi TAMAA yake. Kwani baada ya hapo ndio hio kiu/tamaa itakuwa imeisha? Kwa nini usimpe japo kitu cha kukukumbuka na kukuheshimu kwacho kwamba kwakuwa najua UMECHUMBIWA, siwezi kumtenda mwanaume mwenzangu hata kama simjui.... ila kama hujui amechumbiwa/kuolewa hio ni kesi nyingine.
Tatizo mfumo umetulea vibaya, mwanaume ukiwa malaya eti unasifiwa na kuitwa majina lukuki kama dume la mbegu n.k. Wanaume tuliojitambua mambo hayo yaliisha siku nyingi
 
Hahahahaaaa ngoja nakutumia nione kama navimba kweli! Chezea mpango wa uzaz... Ifate nyota ya kijani

mkuu acha kujalibu kina cha maji kwa kutumbukiza mguu. Yaan nahakikisha nakupa mambo mpaka unasahau kutumia hayo mavidoge yako sasa hapo utakapoachia tayar kituuuu!
 
Back
Top Bottom