Mdada kufanya tendo la ndoa siku moja kabla ya ndoa yake!

Mdada kufanya tendo la ndoa siku moja kabla ya ndoa yake!

Ndio maana sisi wachache tulioona mbali juu ya mahusiano na ndoa tumeamua kuweka pemben suala la kuoa. Haiwezekan kabisa unataka kulioa janamke halafu linaenda kugegedwa na mwingne sikubali kabisa hii kitu hapa ni mwendo wa mimba na kuyaacha nyumban yakikongoroka
 
Kama tujuavyo, wasichana wa sasa kuwa na 3 sum boyfriend kwa ngono kwa muda tofauti au mafiga matatu na pengine zaidi ni kitu cha kawaida. Na pengine kati ya hao wote anaolewa na yule ambaye amfeel kivilee!!

Just jamaa kaonyesha nia ya dhati kuliko wenzake. Mdada anaona umri unamtupa mkono, asije onekana ana gundu anaamua kuolewa na jamaa. Sasa anaamua kumuagaa yule mmoja ambaye anamuhusudu kisana sana, kumuaga kwa kufanya naye ngono siku moja au masaa kadhaa kabla ya ndoa.

Je msichana akipata mimba katika hilo tendo itakuwaje?

Ndio, pendine anatumia kinga, je muoaji akitambua?

Na pengine mwanaume huyo asitambue wakati huu, maneno yakaja kusikika kwa siku za mbeleni zikamfika muhusika?

Wadada!! Acheni hiyo tabia ambayo inaongezeka kwa kasi, jana tu mdada kagogwa kwa sababu hi hi hi.

Nilichukia aggggrrrriiii

Mimi na wewe tutokomeze ndoa ndoano Tanzania, inaanza na sisi wenyewe

sa zingine mnatuogopesha kuingia kwenye ndoa wengine... imagne natarajia kufunga ndoa mwaka huu na mathread ya hivi ndo yanaongezeka hata apetite ya harusi inapotea....
mjitahidi kuongelea na mazuri ya ndoa basi!!!
 
Hatuhitaji kufumbia, bali kukabiliana na ukweli na uhalisia kadiri unavyojitokeza. Na kikubwa zaidi ni ku-LIMIT matarajio yetu, na kutobweteka (taking things for granted). Tuweke juhudi pia kwenye mahusiano/Ndoa.

Sio wadada pekeee... Kuna shost angu mmoja alikwenda honeymoon na bwanaharusi ilhali yeye sio bi harusi.

Bi harusi akaambiwa "We si ulitaka ndoa" masikini dada wa watu alikaa honeymoon bila mumewe.

Ndoa za kulazimisha hizi acheni tu. Kuondoka hawezi itakuwa aibu!

ningekuwa mwanamke ningeua mtu
 
Last edited by a moderator:
Kabisa ICHANA, Tamaa zimekuwa ndio msingi ya kufikiri kwa wengi wetu.

ni kweli mkuu Tized watu tumekuwa na tamaa za kijinga sana
just imagine anajua hrusi kesho yke then anandeleza tamaa unafikri huyu ataacha hii tabia?never huyu hatoacha hii tabia ana tamaa na hajali kwa hiyo hofu ya MUNGU haimo ndani mwake...
mume wke ana kazi sana
 
Last edited by a moderator:
Sio wadada pekeee... Kuna shost angu mmoja alikwenda honeymoon na bwanaharusi ilhali yeye sio bi harusi.

Bi harusi akaambiwa "We si ulitaka ndoa" emasikini dada wa watu alikaa honeymoon bila mumewe.

Ndoa za kulazimisha hizi acheni tu. Kuondoka hawezi itakuwa aibu!

Hahaha hii kali ya mwaka......duh....
 
Ndio maana sisi wachache tulioona mbali juu ya mahusiano na ndoa tumeamua kuweka pemben suala la kuoa. Haiwezekan kabisa unataka kulioa janamke halafu linaenda kugegedwa na mwingne sikubali kabisa hii kitu hapa ni mwendo wa mimba na kuyaacha nyumban yakikongoroka

Ukiharibu nawe utaharibiwa......kama hauna swala la kuoa bora uchukue wale malaya....maliza shida zako muachane hapo....kuliko kumpa mtoto mateso......
 
sa zingine mnatuogopesha kuingia kwenye ndoa wengine... imagne natarajia kufunga ndoa mwaka huu na mathread ya hivi ndo yanaongezeka hata apetite ya harusi inapotea....
mjitahidi kuongelea na mazuri ya ndoa basi!!!

hahahahaaaaa! Kijanaaa! Unatakiwa uwena uso wa dagaa chagua moja kuikana ndoa au kuikubali ndoa. Mm nilishaikana tangu mwanzo siji kuoa hata sku moja ila mimba tu ndio ntawajaza
 
Sio wadada pekeee... Kuna shost angu mmoja alikwenda honeymoon na bwanaharusi ilhali yeye sio bi harusi.

Bi harusi akaambiwa "We si ulitaka ndoa" masikini dada wa watu alikaa honeymoon bila mumewe.

Ndoa za kulazimisha hizi acheni tu. Kuondoka hawezi itakuwa aibu!

Khaaa....twin...chozi limendondoka hakyamama.
 
Ukiharibu nawe utaharibiwa......kama hauna swala la kuoa bora uchukue wale malaya....maliza shida zako muachane hapo....kuliko kumpa mtoto mateso......

hiki ninachokifanya ni kisasi nalipiza yaan watakoma
 
Ukiharibu nawe utaharibiwa......kama hauna swala la kuoa bora uchukue wale malaya....maliza shida zako muachane hapo....kuliko kumpa mtoto mateso......

kwan hao wanaojazwa mimba sio malaya? Kwan malaya ni nani?
Kama sio malaya utagongwaje na wanaume zaidi ya wawili? Wanawake wote wenye mwanaume zaidi ya mmoja ni malaya
 
alafu mie nashangaa sana mbona hawa wanawake wanakuwa na wanaume watatu lakini ukimwambia bwana nataka threesime wanakataa....
 
Amini amini!!
Atakayelala naye kabla ya ndoa....kwa kisingizio cha kuaga....hakika wataliendeleza hata akiwa kwenye ndoa!!!
 
Back
Top Bottom