Mdada huyu ananisumbua

Hiki kisa kiwe cha uongo au kweli....Kwa wewe kutaja tu kuwa ni mzuri sana na hlf ni maarufu sana hapa, lazima atatetewa, na wewe utakashifiwa balaa! Hapa ghafla ni sehemu ya watu-malaika, hawawezi kuwa na tabia za hivyo! Hata kama huwa tunaona matusi na mambo ya ajabu humu kumbe wote hapa ni wasafi! Kuna kashfa humu zitatokana na wivu (wewe umewezaje kuwasiliana na mtu maarufu humu na kuonana naye na sasa anakutamani), nyingine ni kumtetea 'mtu maarufu' humu japo hajulikani nk... Humu hakuna wanafiki, mafisadi, waongo, matapeli wa mapenzi, hakuna wezi, wavivu, washirikina na wafananao na hao! So koma kabisa usituchafulie watu wetu... tena maarufu! Usirudie.
 
Ni kinyume na sheria za JF to disclose PM conversations anyhow...once you choose to PM somebody, inabaki kuwa private business.
....So broda, umbug meeeen.....

hahahaaaa. Terms and conditions apply
 
Ningekuwa moderator wala nisingejiuliza mara mbili juu ya uvunjaji wako wa taratibu za JF. Hata katika hali ya kawaida mtu aliefikia kuoa au alieoa hawezi kuweka ujinga wa namna hii hapa kwenye jukwaa.. real bad..
 
Maarufu
 
lala shost. mi hapa sina usingizi. nimekumbatia midoli weee hadi nimechoka ila wapi!! nimeona niingie jf nikumbatiane na vivuli. lol

wanaume tupo wengi namna hii we unakumbatia midoli!
 
Wewe umeoa;halafu anakuganda;then hujui la kufanya?Acha tabia za kizinzi hizo.
 
ulivyonyanyua mguu kumfata ili muonane ulitegemea mtaongelea ishu za biashara au? we ulitegemea nn? eh! pole
 
Huyu anawapa ushauri kupitia lovely stori hiyo kama umeoa lazima ufuate sheria za ndoa na kuiheshimu ndoa yako cyo kujitangaza tumia ushauri wako na busara zako umukwepe kiakili.
 

Acha utoto mzee, hivi kama ungekuwa wewe umetongoza haafu ukawa unamng'ang'ania huyo demu akaja kukuweka hadharani ungejisikiaje??? Mbona tunafanya mambo blindly???

Message tu zinakusumbua mpaka kuona ni usumbufu tosha je mkeo ambaye unaisho naye siku akikusumbua si itakuwa balaa au utachanganyikiwa???
 
.. Mtaje kama upo serious maana hadi kupeana namba za simu,kuonana,na everything,..what wer you thinking&expecting? Au msimulie mamsap amuonye. Ila ulivokuha tayari unaonekana stak nataka,ila roho inakusuta! Ila mtajeeeeeee
 
chei chei shangazi,shangazi chei shangazi,tufurahi shangazi
 
Billie mimi na mume wa mtu tofauti kabisa,situmii vitu used bwana!sina appetite nao kabisaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…