Mdada Aukomesha Ufisadi Wa Mapenzi Ofisini!!! Mkaka Ahahaaaa!!!!!!!!!!

Mdada Aukomesha Ufisadi Wa Mapenzi Ofisini!!! Mkaka Ahahaaaa!!!!!!!!!!

Ugua pole m2 wetu wa nguvu...... back to mada huyu dada amekutana na kimwanamme kama angekutana na mwanamme wa shoka angeomba poo.....Kuna watu na viatu jamani ukijidai kauzi yeye anakuwa kauzu[SUP]3[/SUP]
 
You need a rest b'se i know how the leg hurts!! God ill bless u!
Back to the topic she is ur friend, are u angry with her? u were abt to advice her before releasing her weakness! frankly speaking love in the same office reduce efficient of working!!!!!!!!!!!!! still u hv a chance to help her through cancelling!
 
Having many boy friends doesn't mean that u are so cute but it means that you are cheap, since cheap products are the one with many customers.
Ur friend seem to be cheap and not b,se she is charming u may socialize with any sex bt if ur aim is not for bad no one will hv u cheaply like that!!!!!!!!!!!!!!!
 
jaribu kutumia kiswahili ujuacho zaidi. kiingeleza waachie wenyenacho
 
Nakuombea upone ila viatu vya mchuchumio nini bui bui vinaweza kupitwa na wakati by the time unapata uwezo wa kuvivaa.
 
Ha ha ha teh. Kashikwa pabaya hapo mwanaume

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole sana mungu atakuponya kwa imani yako. Kwani huyo kaka nae nilazima atafute mwanamke oficn kwani huko mitaan au barabaran hawaoni? Bure kabisa
 
Bora usipone upate muda wa kituletea story! Mwekezaji si yupo analeta mahitaji, una wasiwasi gani?
 
lara 1, bora usipone upate muda wa kituletea story! Mwekezaji si yupo analeta mahitaji, una wasiwasi gani?
 
Yes Dr.Mo............vp na mimi kifua kikiniuma utanipima kama huyo mtoto hapo kwa avatar yako?au kinguonguo nayo itafaa teh teh teh!:smile-big:
...ha ha ha ha ha haha..miss strong bana..ntakupima tu mamy..
 
tabia hizi ni za wapumbavu mwenye akili kichani mwake mh napita tu nisije chefua zaidi
 
pole yake huyo shosti wako! kwanini lakini kitu sweety halafu wanakiacha wanatafuta kingine, au wanatafuta kahawa kupunguzia mautamu!! dah! wanaume tuna shida kweli.............
 
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!

After all the stories nazowaletea humu na mada mototo, mniombee nipone huu mguu! Wiki ya 8 sijui ya 9 niko bedrest!!! I deserve your prayers. High hills zimeanza kuota buibui! Tena kama umenichoka ndo uniombee zaidi ili niresume life la zamani nikaanzie viporo vyangu, nipate mda wa kuingia humu kabisaa! SERIOUSLY I NEED YOUR PRAYERS!
Pole sana dada mkubwa, insha-Allah Mungu atakuponya uwe kama ulivyokua kabla ya ajali, ili uendelee na masham sham yako! surely every one is missing you in office and elsewhere!!!
 
Kweli mkuu. Huyu dada anaonekana ana akili fupi sana.

HAHAHAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!! Fools will always try to drag you down and beat you with experience! HAYA WE AKILI ZAKO NDEFU KAMA MLIMA KILIMANJARO EEEH! MTOO MZURI! Umefurahi eeeh! Haya kakojoe ulale eeh!
 
usiombe ikatokea una mahusiano na bosi wako alafu mkapigana chini!!!,huo ugomvi wake haushi kama tom na jerry
 
HAHAHAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!! Fools will always try to drag you down and beat you with experience! HAYA WE AKILI ZAKO NDEFU KAMA MLIMA KILIMANJARO EEEH! MTOO MZURI! Umefurahi eeeh! Haya kakojoe ulale eeh!

Mkuu endelea kutushushia visa,visa vyako vingi unavovileta humu huwa vina mafundisho sana...mfano mdogo tu wa kisa cha leo ni...don't date mtu mnayefanya naye kazi....!so plz we ukivipata tu tupia,tupo ambao tuna-learn a lot kutokana na thread zako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom