lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,223
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!
After all the stories nazowaletea humu na mada mototo, mniombee nipone huu mguu! Wiki ya 8 sijui ya 9 niko bedrest!!! I deserve your prayers. High hills zimeanza kuota buibui! Tena kama umenichoka ndo uniombee zaidi ili niresume life la zamani nikaanzie viporo vyangu, nipate mda wa kuingia humu kabisaa! SERIOUSLY I NEED YOUR PRAYERS!
BACK TO TOPIC
Hii imejiri huko city centre kwenye ofisi moja hivi. Kuna mdada so sweet and generous, ni rafiki yangu. She is just sweet yaani, kwa kila mtu! Sasa wanaume huwa wana abuse her sweet nature! Cause ni mkarimu anacheka cheka basi mwanaume lazima atupe karata! Maskini ya watu anaamini anapendwa kumbe anajaribiwa! Anakubali! Wanamla wanasepa!
Sasa kama mnavojua ofisini kuja mtu mpya kiama! Paka afe mtu au aache mtu! Walewale mnajiburuza! Mpaka wanakukifu! Sasa kuja kushtuka keshwakirimia wengi mule! Alhamdulillahi kaja mkaka mpya kaajiriwa! Akatokea kumpenda kweli! Basi yule kaka ndo kuingia bila hata odi! Kuona mzigo all smiles, si akaula fastaaa!
Huku na huku ndo akamuona dada mwengine ambae yule kaka kampenda kweli na ana nia nae ya kumuoa! Kimya kimya kakata mawasiliano huku kwa shosti anajisogeza kule for prmanent intrests. Shosti kupata taarifa kaufata yule dada kamwaga mboga yoteee!
Kamuweka wazi tu, Huyo bwana hakufai! Ni bwana wangu, nimetembea nae na bado natembea nae, na hata ukiwa nae nitaendelea kutembea nae tu. Mi nakwambia hivi coz nimekuona uko decent you deserve somebody better than him. Huyo tuachie sie tuliejichokea kitambo. Dada akashukuru kwa taarifa, na baada ya kufanya u KGB kidogo, taarifa zikatick kamtoa race kama Husein bolt yule kaka!
Basi ndo umekuwa mchezo wa huyo dada kum monopolise yule kaka! Kaka akirusha madini tu sehemu, yeye anaibukia na kumdhibiti! Kaka keshaachana nae, sema dada ndo luba kasingiziwa! Mdada kamchana live wewe coz umnionja afu umenitema nakuhakikishia nakuharibia kila mahali! Ofisi hii hutokaa ung'oe demu! Maninazako! Kaka hana raha anajishauri akashtaki HR? Sijui kuna viungu hivo HR!
Kila mnyonge ana mnyonge wake!!!!! Mi ofisini nimejivua gamba siku nyingi sanaaa!