Mdada Aukomesha Ufisadi Wa Mapenzi Ofisini!!! Mkaka Ahahaaaa!!!!!!!!!!

Mdada Aukomesha Ufisadi Wa Mapenzi Ofisini!!! Mkaka Ahahaaaa!!!!!!!!!!

Pole...jikaze uanze zoezi taratibu!!!

Nwy. . .Mbona kama huyo dada ndio fisadi?Tena ambalo bado halijakomeshwa.

Huyo kaka nae mzembe tu, angempotezea huyo dada jumla hayo yote yasingetokea. Akipeleka maneno kwa mupenzi mupya, jamaa anasema tu kweli "nilikuwa nae nikamuona sio ila sasa yeye haishi kunifatafata" mbona angeisoma namba!!
 
Ndio maana huwa nawazimikia sana mademu wanao jisikia, ambao hawapendi kuzoeana zoeana na kila mtu, thamani ya mwanamke ni kuringa bana, we unajiachia achia kila mwanaume unamchekea unategemea nini? lazima utamegwa tu kuachwa kwa sababu najua kama mimi umenichekea basi hata Bujibuji utamchekea pia, Nyani Ngabu naye hatokuacha.

Waswahili wana msemo wao mmoja wanasema " NZI HUFUATA MIZOGO" which means that kama wewe ni mdada halafu kila mwanaume anakufuata kukutongoza basi jua, machoni mwa watongozaji wako, unaonekana mrahisi sana ndo maana hawafikirii mara mbili..kuna mademu wengine hata kumwambia tu unampenda, unajiuliza mara mbili mbili kwanza
 
Thread zako zmekaa kiumbea nashndwa hata kuzielewa
 
Thread zako zmekaa kiumbea nashndwa hata kuzielewa

WE ZAKO ZISIZO ZA KIMBEA ZIKO WAPI???????? Mi sikumbuki kukuomba uje usome thread yangu yoyote! Ukiingia kwenye thread yangu ujue tu ni CAVEAT EMTOR!!!!!
 
pole sana dear!
mguu upone huo jamani wiki 9 ,mweeh!
MUNGU AKUBARIKI UPONE mdogo wangu!
 
hivi mi nifanye kazi ofisi moja na beibe kazi zitaenda kweliii!!! watu sijui wanawezaje. lara pole kwa kuumwa.
 
hivi mi nifanye kazi ofisi moja na beibe kazi zitaenda kweliii!!! watu sijui wanawezaje. lara pole kwa kuumwa.

Akija mdada kapendeza tu ukimchungulia ukakuta kaitolea Inye jicho, Moyo unapigaaaaa BAAAAAAAAP!!!!!
 
Akija mdada kapendeza tu ukimchungulia ukakuta kaitolea Inye jicho, Moyo unapigaaaaa BAAAAAAAAP!!!!!

yaani, na mautani ya ofisi yalivyo sasa si unaweza ukafa kwa presha jamani. khaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom