STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,267
Na ndiye aliyeitengeneza, mbwa kala mbwaLakini anayeua ni binadamu na sio bastola maana haiwezi kufyatuka yenyewe.
Na ndiye aliyeitengeneza, mbwa kala mbwaLakini anayeua ni binadamu na sio bastola maana haiwezi kufyatuka yenyewe.
Sasa ulitaka zitumike kwa matumizi gani? Ulitaka zitumike kumuua nani ndo iwe sahihi??Duuuuuh. Waswahili MNA maneno. Ijapokuwa sikubaliani na mtizamo na masimamo wako juu ya matumizi ya silaha, imenibidi nicheke sana juu ya kauli yako. Stunter, ni kweli silaha haikutengezwa kwa ajili ya kusongea ugali lakini pia haikutengenezwa kwa ajili ya kufanyia uhalifu na mauaji kwa wasio na hatia.
Kwa akili yako ni kama vile unahalalisha na kuhamasisha uhalifu huo. Ni vema tukalaani kitendo hicho kwa sauti moja ili wahalifu wanaposoma Uzi wa aina hii wajue hapana mtetezi wao wala hapana anayewashabikia au kuhalalisha uhalifu wao.
Ni maoni tu.
Jembe lilitengenezwa kwaajili ya kulimia, na bastola hiyo ndio kazi yake, wanaojifanya kulaani matumizi yake ni vema waanze kampeni ya kuzipiga vita zisitengenezweEti nape mwenyewe alionyeshwa bastola hapo ndio ujue hapo kazi tu
Hao majambazi wajinga sana
Hawapo kiuchumi, hawajui when to fire , yani kwa mwanamke mmoja ndio wafungue usalama na kutundika risasi 3?
Wajinga sana, washachezea risasi
Hahahah... Mbona mna akili ndogo??Upigwe ww ndio itasadifu unayoongea
Kiongozi wa nchi anayejua ujambazi kasema fanya kazi alipoona mwanae katimba na bunduki. Na ney kaimba "wanaa mkuu kasema kutimba na bunduki nayo ni kazi"
Mkuu akatokea akausifia kuwa ni mzuri na watu wapige kazi sasa mnalalamika nini. Mimi sio jambazi na naulaani but Hauwezi kufa bila kuanzia juu....Juu wakiuchekea na chini watauchekea pia.
Dada yupo hai..ila yupo muhimbili anatakiwa kutolewa risasi..maana amepigwa risasi Kama tatu.RIP dada...
Mungu ampe nafuu aponeDada yupo hai..ila yupo muhimbili anatakiwa kutolewa risasi..maana amepigwa risasi Kama tatu.
Not reallyI ask again.. is our country safe?
Too bad[emoji62]Siku hizi wazee wa hapa kazi tu wamepamba moto,kigamboni kila siku ni milio ya risasi,yaani giza likiingia tu ni balaa. Ujambazi,uporaji na ukabaji vimesheeni kigamboni na mbaya zaidi jeshi la polisi liko busy kudeal na magari barabarani kuliko maisha ya watu
Pointless.Bastola imefanya kazi iliyotengenezewa kuifanya,
Wala msisikitike cuz hizo zimetengenezwa kwaajili hiyo, iwe aliyeuliwa ni mwema au ni mualifu as long as sote ni binadamu basi Hakuna tofauti.
Inshaallah, Dah yani ukhuty haya mambo yaskie tu kwa mbali, so sad kwa huyu mdadaMungu ampe nafuu apone
Hapo ndipo mmepatikana.Kwani anavyoonesha picha na video za maisha yake binafsi mitandaoni huwa anaonesha kwa mamlaka husika?
Kwa inavyojulikana kiherehere cha Barshite angesharusha vyeti mitandaoni zamani na kupitia Clouds TV.
Kudhan nini labdaHapo ndipo mmepatikana.
Mlivyodhani siyo
KAMA HAMJAKUWA TAYARI KUUPINGAPointless.
nakwambiaje, subiri yakukute wewe ndio utajua bastola ilitengenezwa kwa ajili ganiUlidhani bastola ilitengenezwa kwaajili ya
kusongea ugali?? Msijifanye mnaharamisha
matumizi ya bastola wakati mnafurahia
kutengenezwa kwake, anzeni kupiga vita
utengenezwaji kwanza... Idiot