Mdada apigwa risasi na majambazi wa boxer Tabata Bima

Mdada apigwa risasi na majambazi wa boxer Tabata Bima

Wizi wa majambazo wanaopora hela umeshamiri Sana Dar es salaa.Vibanda vya mpesa/tigo pesa wanaporwa kila siku.

Leo katika hali isiyo ya kawaida Dada mmoja ampigwa risasi na kuporwa hela zake saa 8 mchana maeneo ya Tabata bima.

Mdada tunamjua ni Ana kiduka chake tu cha mtaani na inasemekana alikuwa umetoka kuchukua hela segerea sheli(ATM)kiasi kidogo akanunue mchele wa kuuza dukani.dizaidi walikuwa wanamfuatilia.

Wezi wenye bastola na wakitumia boda boda kwa dar ishakuwa kero sasa..twafaaa.
Poleni wakazi wa huko,,hata maeneo ya river side kuanzia darajani land mark servese road ya kishoto upandishe hadi mabibo hostel maeneo hayo wamejaa kibao tena ni madereva bodaboda wanapora sana la kushangaza mtu anaporwa watu wanaona na hawatoi hata msaada wananchi wa maeneo hayo
 
Siku hizi wazee wa hapa kazi tu wamepamba moto,kigamboni kila siku ni milio ya risasi,yaani giza likiingia tu ni balaa. Ujambazi,uporaji na ukabaji vimesheeni kigamboni na mbaya zaidi jeshi la polisi liko busy kudeal na magari barabarani kuliko maisha ya watu
 
Ulidhani bastola ilitengenezwa kwaajili ya
kusongea ugali?? Msijifanye mnaharamisha
matumizi ya bastola wakati mnafurahia
kutengenezwa kwake, anzeni kupiga vita
utengenezwaji kwanza... Idiot
Duuuuuh. Waswahili MNA maneno. Ijapokuwa sikubaliani na mtizamo na masimamo wako juu ya matumizi ya silaha, imenibidi nicheke sana juu ya kauli yako. Stunter, ni kweli silaha haikutengezwa kwa ajili ya kusongea ugali lakini pia haikutengenezwa kwa ajili ya kufanyia uhalifu na mauaji kwa wasio na hatia.
Kwa akili yako ni kama vile unahalalisha na kuhamasisha uhalifu huo. Ni vema tukalaani kitendo hicho kwa sauti moja ili wahalifu wanaposoma Uzi wa aina hii wajue hapana mtetezi wao wala hapana anayewashabikia au kuhalalisha uhalifu wao.
Ni maoni tu.
 
Bastola imefanya kazi iliyotengenezewa kuifanya,
Wala msisikitike cuz hizo zimetengenezwa kwaajili hiyo, iwe aliyeuliwa ni mwema au ni mualifu as long as sote ni binadamu basi Hakuna tofauti.
Lakini anayeua ni binadamu na sio bastola maana haiwezi kufyatuka yenyewe.
 
Mbili nlikua eneo la tukio..na ni m4 alikua nazo.
Hakuwa na milion 4 ni pungufu ya hizo..maana alitoka ATM segerea sheli.ATM huwezi chukua zaidi ya milion na alikuwa anaenda kununua unga wa sembe wa jumla akauze maana yeye Ana kiduka cha mangi tu Hapa mtaani.
 
Niliandaa ufafanuzi mrefu lakin mmh naweza kuta najibu jambazi asiyejua ubinadamu ndio maana kwake kicheko tu
Kiongozi wa nchi anayejua ujambazi kasema fanya kazi alipoona mwanae katimba na bunduki. Na ney kaimba "wanaa mkuu kasema kutimba na bunduki nayo ni kazi"
Mkuu akatokea akausifia kuwa ni mzuri na watu wapige kazi sasa mnalalamika nini. Mimi sio jambazi na naulaani but Hauwezi kufa bila kuanzia juu....Juu wakiuchekea na chini watauchekea pia.
 
Lakini pia huwezi kuwaonesha watu ambao sio mamlaka husika.

Jifunze kuandika tafadhali
Kwani anavyoonesha picha na video za maisha yake binafsi mitandaoni huwa anaonesha kwa mamlaka husika?
Kwa inavyojulikana kiherehere cha Barshite angesharusha vyeti mitandaoni zamani na kupitia Clouds TV.

Soma post za juu ndugu yangu...Asante na iwe hivyo, Mola amjalie maisha marefu yenye furaha tele!
 
Kwani anavyoonesha picha na video za maisha yake binafsi mitandaoni huwa anaonesha kwa mamlaka husika?
Kwa inavyojulikana kiherehere cha Barshite angesharusha vyeti mitandaoni zamani na kupitia Clouds TV.
Duh! Sayari gani hiyo!
 
Ulidhani bastola ilitengenezwa kwaajili ya kusongea ugali?? Msijifanye mnaharamisha matumizi ya bastola wakati mnafurahia kutengenezwa kwake, anzeni kupiga vita utengenezwaji kwanza... Idiot
Na panga, kisu vimetengenezwa kwa ajili gani?
 
Habari nilizozipata dakika hii ni kuwa Dada aliepigwa risasi now yupo ICU hali ni mbaya Sana..tuzidishe maombi
 
Unajifanyaje hero kwenye chombo cha chuma. Aya awahi akachkue tips kwa harmorapa upesiii!!!!
 
Walikua wanaitikia "Hapa Kazi Tu" lakini hawakujua ni kazi gani. Naona wanapiga kazi sasa. Hao ni majirani tu hela ya ATM mbona kidg sana
Hivi wewe unaComment hivi hujaguswa na mtu kupigwa risasi mkuu?
 
Hivi wewe unaComment hivi hujaguswa na mtu kupigwa risasi mkuu?
Mimi huwa naguswa ha hii serikali mkuu, imefinya fursa sana, imekupambatia pesa sana. Pesa zinazunguka ndani ya serikali tu matokeo yake ndio haya sasa. Vijana waliokua na vibanda vya chipsi wateja hakuna tena na vile wameambiwa mwisho saa 6, sasa huwenda ndio hawa wanatusumbua mtaani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom