Mdada apigwa risasi na majambazi wa boxer Tabata Bima

Wanaogopa mwezi wa saba uwakute hapa dar maana nasikia kuna mtu alisema atakaye fika mwezi wa saba atakuwa mwanaume
 
Niliandaa ufafanuzi mrefu lakin mmh naweza kuta najibu jambazi asiyejua ubinadamu ndio maana kwake kicheko tu
Kwani mkulu si alisema fanyeni kazi hata kutimba na bunduki na akasifu ney alivyoimba kuwa hata kuvamia na bunduki ni kazi
 
Alipigwa risasi na kufariki au alijeruhiwa?Mleta uzi hujaeleza hili.Risasi siyo lazima iue
 
Bastola imefanya kazi iliyotengenezewa kuifanya,
Wala msisikitike cuz hizo zimetengenezwa kwaajili hiyo, iwe aliyeuliwa ni mwema au ni mualifu as long as sote ni binadamu basi Hakuna tofauti.
Upigwe ww ndio itasadifu unayoongea
 
Bastola imefanya kazi iliyotengenezewa kuifanya,
Wala msisikitike cuz hizo zimetengenezwa kwaajili hiyo, iwe aliyeuliwa ni mwema au ni mualifu as long as sote ni binadamu basi Hakuna tofauti.
Eti nape mwenyewe alionyeshwa bastola hapo ndio ujue hapo kazi tu
 
Mi naona kauli ya raisi ya hapa kazi tu. Itatumaliza kwa mana wezi,Majambazi ndiyo wimbo wao waacheni wapige kazi
 
Wizi wa majambazo wanaopora hela umeshamiri Sana Dar es salaa.Vibanda vya mpesa/tigo pesa wanaporwa kila siku.

Leo katika hali isiyo ya kawaida Dada mmoja ampigwa risasi na kuporwa hela zake saa 8 mchana maeneo ya Tabata bima.

Mdada tunamjua ni Ana kiduka chake tu cha mtaani na inasemekana alikuwa umetoka kuchukua hela segerea sheli(ATM)kiasi kidogo akanunue mchele wa kuuza dukani.dizaidi walikuwa wanamfuatilia.

Wezi wenye bastola na wakitumia boda boda kwa dar ishakuwa kero sasa..twafaaa.

Poleni kwa tukio hilo baya Mkuu ila nikuulize tu kabla ya kulalamika humu JF na kusema ni Kero na mnakufa je hili suala mmeshaliripoti katika mamlaka husika ya Police ambao ndiyo wana dhamana kubwa kabisa ya Ulinzi na Usalama wetu Watanzania wote?

Watanzania wa sasa tuna tatizo kubwa la kupenda mno kulalamika Mitandaoni na Vijiweni lakini tunashindwa kutimiza wajibu wetu kama Raia wa nchi hii kitu ambacho sidhani kama kitasaidia sana. Nishauri tu jikusanyeni hapo itisheni Kikao na Mkuu wa Police wa hilo eneo au hiyo wilaya yenu na mkiweza muiteni hata Sirro pamoja na Mkuu wa Wilaya au RC wa Mkoa kisha muaweleze vizuri na kiufasaha hiyo Kero yenu na ninaamini ndani ya muda mfupi tu hilo eneo litakuwa salama na mtaendelea kuishi kwa amani na furaha.
 
Limelipotiwa kumbuka huwezi pata pf3 bila kwenda polisi na huwezi kutibiwa bila pf3.

Nikusaidie tu..tatizo sio lipo Tabata bima tu.lipo kote.juzi jamaa yangu huko goba wamevamiwa mchana SAA 8 wizi huo huo.mbagara wizi huo huo wiki iliyopita.Mbezi ya kimara.huku Tabata ndiyo wanaiba kwa staili hiyo kila siku.
 
Vumilieni tutafika tu Wakuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom